Anamuondolea pressure kwanza
Casemiro hajamfurahisha kocha bado au shida ni nini wataalamu wa soka?
Uyu dogo halland katutolea maneno ya shombo sana kwanza anakwambia united haikua timu ya hadhi yake kuichezea pili kanasema sis kalikua kanatutamani mda mrefu kweli katuoneshe ngoja tumuone hiyo LeoBruno na eriksen pigeni zile pasi mchomoko za fasta kwenye ile high line defense ya city zimkute rashfod awaweke hawa city... mana city pale kati yupo akanji na akeaisee hahahaaa
Search Global Max google App store
Oya tusaidieni link chap ya kutazama mechi sisi wa chitoholi.
socolive.pro
Japo kuna muda anatuokoa ili mara nyingi anazingua uzembe ni mwingi Sana.Ila Rashford wakuu mimavi sn.