Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,721
Umepanik Sana ,ila hi Ni football tu, haina haja ya kutoa matusiKumbe unawajua man utd zaid kuliko timu unayoitetea man city. Kweli nyie unaakili za kuku. Huohuo uginyi na injury ndiyo udhaifu wao. Vitu kibao hamuvifanyii consideration unaongea upumbupumbu, hujaangalia weakness za pande zote. Hujui kocha wa utd anahaha kupata wachezaji anaowataka, anatumia remains za wenzie.
Mnapenda kuongelea matarcore yenu ya nyuma. Ishu kikao you cc an talk about, mnaongelea nyegere zenu maaanina kabisa.
Ten hagg amepewa £250m dirisha moja ,lakin timu inarukaruka tu,
Ili muanze hata kucheza angalau hata kiwango alichofikia Ole Gunnar inambidi Ten hagg apate madirisha manne na kila dirisha apewe £250m , kifupi atumie £1Billions .
Naona mnatamba kipind Cha pili mlimkamata Pep 🤣🤣🤣
Mnashindwa kung'amua Pep tayari alishapata matokeo ambayo kwavyovyote alijua hamuwez kuyarudisha, ana mech ya UCL ,ana majeruhi ,
Mimi Kama mdau wa Epl nataka nione kwa mpira huu wa Ten hagg wa ujanja ujanja akiokota point ngapi hapa
Manchester United's next six fixtures:
Everton (A) - October 9
Newcastle (H) - October 16
Tottenham (H) - October 19
Chelsea (A) - October 22
West Ham (H) - October 30
Aston Villa (A) - November 6




