HahaaaaaaaaUyu dogo halland katutolea maneno ya shombo sana kwanza anakwambia united haikua timu ya hadhi yake kuichezea pili kanasema sis kalikua kanatutamani mda mrefu kweli katuoneshe ngoja tumuone hiyo Leo
Huyu jamaa ataturudisha kwenye mstari la muhimu kuwa na subira.....Tupo kwenye njia sahihi, naamini tutafika tunapopataka chini ya EtH.View attachment 2376048
Halafu baadhi eti wanafikiri Antony hajui mpira.Lile Goli la Anthony madaktari bingwa wa Muhimbili wamethibisha kua linauwezo wa kutibu pressure, kisukari pamoja na cancer.
View attachment 2375393
Kwa mpira huu wa kukaa nyuma ?Huyu jamaa ataturudisha kwenye mstari la muhimu kuwa na subira.....
Huyo NI kama Daniel James Tu WA bei KaliHalafu baadhi eti wanafikiri Antony hajui mpira.
...hata Daniel James anajua mpira
NdioKwa mpira huu wa kukaa nyuma ?
Huyo NI kama Daniel James Tu WA bei Kali...hata Daniel James anajua mpira
Zile 3 zimekuumiza sana, bado unalia mpaka leo?Kwa mpira huu wa kukaa nyuma ?

Wazee wa kileleniKwa mpira huu wa kukaa nyuma ?
hamna banaKwahiyo mmerudi kwenye magoli negative 😆😆View attachment 2376608
Hamna kitu hapo Mzee...we utoke ligi ya uholanzi na zile takwimu utegemee kuja kutamba EPL kwenye high intensity football....achana na viclip vya youtube hvyo MzeeUnamuangalia Vizuri Yule Antony Santos Au Unabwabwaja Tu
huyo n km Daniel James aliyechangamkaHamna kitu hapo Mzee...we utoke ligi ya uholanzi na zile takwimu utegemee kuja kutamba EPL kwenye high intensity football....achana na viclip vya youtube hvyo Mzeehuyo n km Daniel James aliyechangamka
Anaitaka arsenal huyo
Mzee Leo VP hautupiii mkeka kule.Wewe Wachezaji Wazuri Huwajui.
Hamna mchezaji mule , Hata Sancho mnadai kabadilika ila kila Baada ya mech 5 anacheza vzr mojqWewe Wachezaji Wazuri Huwajui.
Wanaponaje?? kwa sauti ya Tundu lissuUmepanik Sana ,ila hi Ni football tu, haina haja ya kutoa matusi
Ten hagg amepewa £250m dirisha moja ,lakin timu inarukaruka tu,
Ili muanze hata kucheza angalau hata kiwango alichofikia Ole Gunnar inambidi Ten hagg apate madirisha manne na kila dirisha apewe £250m , kifupi atumie £1Billions .
Naona mnatamba kipind Cha pili mlimkamata Pep
Mnashindwa kung'amua Pep tayari alishapata matokeo ambayo kwavyovyote alijua hamuwez kuyarudisha, ana mech ya UCL ,ana majeruhi ,
Mimi Kama mdau wa Epl nataka nione kwa mpira huu wa Ten hagg wa ujanja ujanja akiokota point ngapi hapa
Manchester United's next six fixtures:
Everton (A) - October 9
Newcastle (H) - October 16
Tottenham (H) - October 19
Chelsea (A) - October 22
West Ham (H) - October 30
Aston Villa (A) - November 6









