Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ETH alikosea kupanga timu,we know strength ya City iko kwenye midfield Casemiro alipaswa kuanza hii game.Kuwa-neutralize City United ilikuwa ni kuongeza namba na viungo katikati.Huwezi tumia same approach kwenye mechi zote kwenye EPL
 
Vipi turudi kwenye international break au tuendelee?[emoji1787][emoji1787]
 
Kwann hampend kufanya analysis ya game zenu muujue Ukweli?

Man u karibu game 3 za mwisho ameshinda lkn kwa ushindi mgumu au wa janja janja ,sio kwa ku control game

Kwa situation hizi, tegemea ushindi wa kubahatisha tu
Kufungwa ni kawaida katika mpira napia kukontrol gemu kwa kufanya pressing sana ni sehemu kubwa mojawapo ya kuwin game lakin haikupi uhaika wa 100% kushinda katika game, tatizo timu ilikua Kama vile imelala yaani wachezaji Ile kuonesha motisha ya kupambana hapana kabisa wanacheza kwa presha,na kutokujiamini pamoja na hofu sana yaan ni Ile ilimradi muda huende mpira huishe sababu hawakuwa mchezoni kabisa hasa kule mbele ndio kulikua kumepwaya kabisa.
 
Hilo goli la Antony Labda n goli Bora Kwa upande WA nyumbu Kwa mwezi wa 10
 
Your browser is not able to display this video.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…