Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,277
Tottenham na Arsenal wao wanataka ubingwa ila Man Utd ni mbio za ubingwa tu?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mmedharaulikaaa
...


Mtego uo
Hawa Arsenyani ukitaka kuwapigilia msumari unatafuta kwanza sehemu yenye kidonda halafu hapohapo ndio unagongelea msumari wako.Mkuu naona umeamua kupiga panapouma.![]()
Inabidi n'cheke kwanzaArteta kawapa mafanikio gani hadi umemtaja hapo na klopp mkuu?
Au umesahau tupo wote Europa na mlikuwa juu kwa point nyingi tu msimu uliopita?



Nenda kaangalie mnavyo nyonyolewa.Oyaa kesho mutaeza mpiga shityee nyie takataka?.
Unahangaika huku wakati mnaliwa kule kwenuOyaa kesho mutaeza mpiga shityee nyie takataka?.


















UnaotaHALAAND HAT TRICK![]()
Kesho pia mtajiuliza tumeshindaje.HALAAND HAT TRICK![]()
Ushindi unawezekana kama mtaibeba OT kwenda nayo Etihad, timu yoyote inaweza kucheza Counter km kuna support ya mashabiki nyuma.Kesho pia mtajiuliza tumeshindaje.











