Diogo Dalot nae kafanya kazi kubwa sana ya kukatakata kiazi.Man of the Match.
1. Lisandro Martinez
2. Tyrell Malacia
3. Bruno Fernandez
4. Scot Mctominay
Anakera sana, nusra atufungishe anyway naona ashaanza kugain confidence kocha aendelee kuweka benchi wanaozingua.Diogo Dalot amepewa kisu ameambiwa leo jukumu lake ni moja tu la kumenya Kiazi.
Bruno ni katika kirusi ambacho mashabiki hawakizungumzii sana ila anaigharimu timu kwa kiwango kikubwa, anapoteza mipira sana na kujiangusha hovyo, inatakiwa atafutiwa hata timu ya mkopo aende akajinoe tena kama itashindikana kuuzwa.
[emoji3577]Mmeupigaa mwingi [emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kumbe mpo serious kabisa kabisa, NYUMBU nyie.
Argentina chuma hicho.Hiv Martinez ni raia wa wapi
Nitag basi mpenzi[emoji8]Mmeupigaa mwingi [emoji91]
Hatari mwanangu..Kama Ajax mwanangu.