raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,503
- 35,686
Yes here we go..... sanchooo japo inaweza kuwa kwa mda 😌Vijana wameanza vizuri, piga Liverfool hao.
Yes here we go..... sanchooo japo inaweza kuwa kwa mda 😌Vijana wameanza vizuri, piga Liverfool hao.
Uhai?mnashikwa shikwa unasema kuna uhai?football is blood of hell ndio ipo upande wenuAngalau uhai upo leo...
45'Uhai?mnashikwa shikwa unasema kuna uhai?football is blood of hell ndio ipo upande wenu
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app


Alikua na utulivu maridhawa.Ni muda wa martial nafikiri rashford his time is up.It's Jadon Sanchooooo
Amlete Martial haraka..Alikua na utulivu maridhawa.Ni muda wa martial nafikiri rashford his time is up.
Kuna yule kiwete mwingine aliyebamizwa na LEEDS juzi.Kipimo changu kwamba mmeimprove kitakuwa dhidi ya Arsenane.
Huyu ni kiwete mwenzenu, Japo mmecheza vizuri leo.