Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,304
- 46,781
Maguire hakuna ambacho tutamiss leo kutoka kwake i believe..lakini ningefurahi Bailly na Varane..kitasa..mvunja kuni mkata shombo magwaya hayupo tutatoboa kwel![]()
Maguire hakuna ambacho tutamiss leo kutoka kwake i believe..lakini ningefurahi Bailly na Varane..kitasa..mvunja kuni mkata shombo magwaya hayupo tutatoboa kwel![]()
Tunatoboa vizuri tuuNimekuja tu kuwaambia HATUTOBOI!!!

Amin amin nawaambiaAmka Mkuu Bado umelala Tu![]()
Yes here we go..... sanchooo japo inaweza kuwa kwa mda 😌Vijana wameanza vizuri, piga Liverfool hao.
Uhai?mnashikwa shikwa unasema kuna uhai?football is blood of hell ndio ipo upande wenuAngalau uhai upo leo...