Kuwa na wachezaji wenye umri mkubwa siyo tatizo kabisa tena ni muhimu ila shida kubwa huu usajili ni kama unafanyika kwasababu tu United imeanza msimu vibaya wame-panic halafu bado hatuvutii wachezaji zaidi ya mishahara minono kitu ambacho kinaharibu structure ya timu, tuna wachezaji wengi wa kawaida lakini wanapokea pesa ndefu.Mkuu rebuild sio lazima uweke makinda pekee,hata aged players wanaweza kuwa na msaada huku ukiongeza mmoja mmoja.
Leo hii milner bado anaonekana muhimu liver japo aliondoka man city akiwa mzee.
Cunha inatamkika,"kunya"? Ok!Manchester United wanakaribia kumsajili Matheus Cunha kwa ada ya 50 M € . [ @talkSPORT ] #MUFC
Kama tume panick vile sokoni.View attachment 2325258
Nilikuwa na hasira ila hii comment imenifanya nicheke tu ☺☺
Hii mimi ndiyo thinking YanguTen Haag anajiharibia sana.
Malacia yuko poa more than Shaw right now cha ajabu hapangwi.
Why asijaribu gernancho upande wa Trashford, kina Pellistri na Garner pamoja na Iqbal ili wawe watu wake.
Anza kupiga benchi Bruno, Trashford, McTomminay, Fred.
Hata Arsenal ilisimama baada ya Arteta kuamua kuachana na mizee ya first team na kwenda na Saka, Smith Rowe, Martinell, Odegaard, timu ilikaa sawa.
Watu wamefukuzisha makocha bado unakomaa nao.nm
Yawezekana ni kweli ni panic buy chief, ila kwenda hizi match mpaka dirisha lijalo bila dm labda hututakii mema tu, tutapigwa hadi tushangae. Aje tu huku tunaendelea ku explore long term DM ajaye taratibu kuliko hii patner ya Mctominay na FredUnited ni kama hawana a clear structure ya rebuild wanayoifanya.
Casemiro ni panic buy tu, ni mchezaji mzuri sana lakini kwa umri alionao ni kama atakuwa kwaajili ya muda mfupi kikosini katika mpira wa hali ya juu katika career yake.
Tatizo la United wanataka kufanya rebuild yao kwa kulipua tu. Kitu pekee kitamleta Casemiro United ni pesa na hapo ndiyo timu inapokosea kwasababu tunarudi kulekule kulipa mishahara mikubwa ambayo kila mchezaji tukimleta na yeye atataka alipwe kama fulani.
United hawakuwa tayari nini watafanya dirisha la usajili, siwalaumu kwasababu ni era mpya imeanza. Wangetulia tu wasubiri dirisha lijalo. Ila ndiyo hivyo Glazers wanajisafisha kwa mashabiki. Mashabiki nao wanawapamba wachezaji wa Madrid kuwa ni winners kwahiyo wasajiliwe tu hata kama hawafai kwa kile tunachoita rebuild.

Wamevurugwa wamepanic huko sokon wanakurupuka kununua kina casemiro waje Kula pesa za bure ....Timu bora Dunian mmepoa wanangu wa Manchester United![]()

mtu Kama casemiro unaona kabisa yupo after money ,Hakuna taji ambalo unaweza mtishia ...Wamevurugwa wamepanic huko sokon wanakurupuka kununua kina casemiro waje Kula pesa za bure ....
Casemiro ana uefa zaidi ya 2 +makombe kibao ...
Ronaldo uefa zaidi ya 3+makombe kibao ....
Varane uefa za kutosha ....
Sasa unawasajili ili waje kukupa Nini kiu ya mafanikio kimpira haipo ,ila saizi wanajitakia pesa ,wazeeke na mishahara minono Kwan huko Madrid Perez anaakili kichizi hawezi ongeza mshahara kwa wachezaji wenye 30+ years ,hata wawe vzuri na mna gani kwani ni maji ya jioni ndio maana kawaacha kina Marcelo ,varane , Ronaldo,Sasa casemiro ,anaingiza damu changa kuzidi kuimalisha real Madrid Leo na kesho ......
ila Hawa wazee wa kukurupuka wanataka kunenepesha ng'ombe siku ya mnada subili uone watakavyo pigwamtu Kama casemiro unaona kabisa yupo after money ,Hakuna taji ambalo unaweza mtishia ...
Mkuu rebuild sio lazima uweke makinda pekee,hata aged players wanaweza kuwa na msaada huku ukiongeza mmoja mmoja.
Leo hii milner bado anaonekana muhimu liver japo aliondoka man city akiwa mzee.
Halafu casemiro wa Sasa Ni injury prone, Madrid game za UCL kashinda ,ila kiungo Chao kilikuwa kinazidiwa , angalia hata Zile game na Chelsea,Wamevurugwa wamepanic huko sokon wanakurupuka kununua kina casemiro waje Kula pesa za bure ....
Casemiro ana uefa zaidi ya 2 +makombe kibao ...
Ronaldo uefa zaidi ya 3+makombe kibao ....
Varane uefa za kutosha ....
Sasa unawasajili ili waje kukupa Nini kiu ya mafanikio kimpira haipo ,ila saizi wanajitakia pesa ,wazeeke na mishahara minono Kwan huko Madrid Perez anaakili kichizi hawezi ongeza mshahara kwa wachezaji wenye 30+ years ,hata wawe vzuri na mna gani kwani ni maji ya jioni ndio maana kawaacha kina Marcelo ,varane , Ronaldo,Sasa casemiro ,anaingiza damu changa kuzidi kuimalisha real Madrid Leo na kesho ......
ila Hawa wazee wa kukurupuka wanataka kunenepesha ng'ombe siku ya mnada subili uone watakavyo pigwamtu Kama casemiro unaona kabisa yupo after money ,Hakuna taji ambalo unaweza mtishia ...
Jamaa katoa maon TU, Kuna muda tuacheni ujinga, tujadili footballMkuu,kwani hizo pesa ni zako? Mbona zinakuuma sana?😂
Kabisa la kusubri huku tuna dundwa na Brentford inauma mzeeNaimani msimu wa kuanzia 2023-2024 (tukijaaliwa uzima), tutakua na wachezaji wengi wapya.
Jamaa katoa maon TU, Kuna muda tuacheni ujinga, tujadili football
Football sio uhasama, jamaa hajatukana Wala kukashfu ,why usimjibu kwa kumchallange hoja yake
ni haki yako kuwaza, lakini sina uhakika kuwa uwezo wa kocha upo kama unavyotaka kutuaminisha, muda ni mwalimu mzuri sana uwe na akiba ya maneno kidogoHalafu casemiro wa Sasa Ni injury prone, Madrid game za UCL kashinda ,ila kiungo Chao kilikuwa kinazidiwa , angalia hata Zile game na Chelsea,
Casemiro wa Sasa anafata man u pesa , nasikia ana dabo salary
Man u wanarudia kosa Lile Lile walilofanya kwa Varane
Injury prone
Uwezo umepungua
Kocha wa man u hajui anataka nn, kwasasa anajifichia kwenye kichaka Cha wamiliki,
Hivi jiulize project ya man u Ni ipi ,analeta WAZEE , Tena Wala pesa ndefu
Kamsajiri Martinez beki mfupi amchezeshe Kati ,epl itakusulubu TU
Kamsajiri Malacia anakula benchi ,
Kamsajiri Eriksen maji ya jioni
Now anamleta casemiro
Hadi hapo unaona huyu Kocha ameshafeli , ila kwasasa anajifichia chini ya Kwamba Grazzer family ndio wenye shida.
Anadhani epl Ni ereveside
Kwa nionavyo Mimi soon mashabiki baada ya dirisha kutungwa watamkaanga yeye

Mwalimu mzuri ,ila kwa EPL ana dalili zote za kufeli, muda utaongeani haki yako kuwaza, lakini sina uhakika kuwa uwezo wa kocha upo kama unavyotaka kutuaminisha, muda ni mwalimu mzuri sana uwe na akiba ya maneno kidogo![]()
Ktk usajili kuna targets 3 kuu kwa ajili yaUnited ni kama hawana a clear structure ya rebuild wanayoifanya.