Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,891
Hapo kwa Fred njee awepo brunoo hicho kikosi ndy kanatakiw tumbonde liver sasa
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hapo kwa Fred njee awepo brunoo hicho kikosi ndy kanatakiw tumbonde liver sasa

Ndiyo apewe mkataba wa 4 + 1 years? Salary £300K pamoja na transfer fee ya €70M.
Ila kwa kile kiungo acha Casemiro aje tu lakini United kuna mahali wanafeli.
Lakin umeelewa mantiki yanguFernandino yupo City ipi?
City center au?
NAkuuliza frenandinho yupo team gani?Lakin umeelewa mantiki yangu
Juventus walimnunua Cristiano Ronaldo mwaka 2018 akiwa na miaka 33 kwa ada ya euro 100M pamoja na kuwalipa Sporting CP na wakala wake euro 12M. Mshahara wake ulikuwa euro 120M ndani ya miaka minne yaani zaidi ya euro 30M kwa mwaka.Ndiyo apewe mkataba wa 4 + 1 years? Salary £300K pamoja na transfer fee ya €70M.
Ila kwa kile kiungo acha Casemiro aje tu lakini United kuna mahali wanafeli.
| Casemiro: 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎!
Real Madrid have accepted Man Utd official bid for €60m fixed fee plus €10m add-ons, as expected.
Casemiro has full agreement on personal terms with Manchester United on a four year deal with option for further season.
Brazilian midfielder already said goodbye to all his teammates as he will fly to England and complete the medical tests during the weekend.
Casemiro won’t debut on Monday at Old Trafford as visa to be sorted, medical and contract signing will take some time.
️

Wale wapuuzi McFred walikua chenga sana.Huu ni usajili mzuri na muhimu.
Chief jina lake tu lina arsenal kwa mbele, anasahau team yake, mikwara kibao kwa hizi game 2 ila mwisho wa siku EUROPA au nafasi ya tano au sita ipo pale paleSo kwa kauli yako ulitegemea tuchukue ubingwa mwaka huu???
Hata barca wanaoitwa wanajenga timu wamemuongeza robert lewo mwenye 33+,sumtime tusijitwike ukocha,wabongo tunaongea sana.
Hao glazers wasiposajili maneno meeeengi,hao viunge wakabaji wenyewe siku hizi wa kuokoteza,de jong katuvua nguo,acha tumcheki casemiro,na naiman kocha atamtumia iwezekanavyo.
Na nyie arsenal,hii ligi bado mapema saaana kuongea,maake naona mmeshaanza kuwatoa Liverpool kwenye ubingwa mmashindana na man city,shame.Miaka yote mnaanzaga ivi ivi zaidi mnaishia nafasi ya tano.
Acha iitwe panic buying lakini ni bora kuliko viungo tulionao wa kina macfred.
My rate is 8| Casemiro: 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎!
Manchester United are set to sign Casemiro on a permanent deal from Real Madrid, here we go!
Real Madrid have accepted Man Utd official bid for €60m fixed fee plus €10m add-ons, as expected.
Casemiro has full agreement on personal terms with Manchester United on a four year deal with option for further season.
Brazilian midfielder already said goodbye to all his teammates as he will fly to England and complete the medical tests during the weekend.
Casemiro won’t debut on Monday at Old Trafford as visa to be sorted, medical and contract signing will take some time.
How do you rate this signing from 1 to 10?️
View attachment 2328606
Mwl gani mzuri? Hiyo Ajax hata wakikupa wewe unakuwa kocha. Yaani ni hakuna ushindani ile ligue. Kiufupi it's a farmer's leagueMwalimu mzuri ,ila kwa EPL ana dalili zote za kufeli, muda utaongea
Kwasasa acha ajifiche kwenye kichaka Cha wenye timu
Unakumbuka Madrid walivokutoa UEFA?? Sasa casemiro kaja na mbinu zotee.Man UTD = real Madrid b
We fala unatesekaMan UTD = real Madrid b