Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,364
Hii mishahara mikubwa inasumbua sana, Bruno amedrop sana yaani, toka ale deal jipya.United walikua tayari kumfanya Adrien Rabiot moja ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi kwenye daraja moja la kina Bruno Fernandes na Christian Eriksen lakini mama yake Véronique iinasemekana alihitaji mshahara mkubwa zaidi. [ @David_Ornstein ] #MUFC
Naona hawa wajinga wameona united ni pakupigia pesa kwa kiwango gani kwanza.