Naona umepiga kwenye mshonoRangnick alivyotangaza kukubali kazi ya Austria nikasema timu inaenda chini zaidi ndiyo maana hata yeye hana imani nayo ameamua kuondoka na ile nafasi ya ushauri haitaki.
Nikajibiwa ushauri atafanya huku anakua kocha Austria. Baada ya siku kadhaa akajiuzulu huo ushauri. So mi narudia tena kusema kwamba timu bado haina project ya maana.
Mashabiki wa United Pogba alisema hawajui mpira. Ni ngumu kidogo kumpinga Pogba kwenye hili hebu kumbuka jinsi mashabiki walikua wanapiga kelele wanahitaji winga na winga ni Sancho.
Sancho amekuja. Ana magoli 3 katika mechi 30. Lakini huwasikii mashabiki wakisema kwamba wanahitaji winga yaani wanazuga kua tatizo la winga limeisha.
Wakaanza leta lawama kwamba wanahitaji DM. Mi ninavyojua Fred ni DM na Scot ni DM, ila mashabiki wanaamini Rabiot ndiyo dawa ya hii ishu. Sasa waulize hao mashabiki kama wamewahi muona Rabiot akicheza.
Rabiot alikua mzuri akiwa PSG, akaenda Juve akawa average, Juve na PSG zipo ligi mbili tofauti yawezekana alishine PSG kwakua PSG ipo farmers league. Akiwa Juve akawa hapangwi akaanza maneno yeye na mama yake wakawa wanaishambulia Juve mitandaoni.
Sasa mchezaji wa tabia hizi akija timu ambayo ipo hovyo tutarajie nini? Sasa jiulize ni kweli mashabiki walihitaji winga au walimhitaji Sancho? Na saa hii ni kweli wanahitaji DM au wanamhitaji Rabiot?
Narudia tena. Shida ya United ni kocha.

Kwaio mmeliwa kimasihara au planned?Mourinho alishwahi sema Achievement yake kubwa ni Kushika nafasi ya Pili kwa kikosi aina hii cha man u ambacho kiukweli ni shida tupu ukiangalia namna wanavyocheza unajua no plan yani Kuanzia beki mpaka foward hakuna Coordination anaepata mpira hajui next plan foward zinabutuaa ili mradi kuoteaa goli.. Kina magwaya huku nyumaa wapo loose tu yani Hakuna Marking kabisaa ubaya Hata De gea na mabeki kina magwaya unaona wanacheza ili mradi tu. Uwepo wa ronaldo unawapumbaza wengi wakiamini tuna kikosi Bora ila ukweli pale hakuna Chemistry ya kuisadia timu kabisa.

Makocha wangapi wamepita?Rangnick alivyotangaza kukubali kazi ya Austria nikasema timu inaenda chini zaidi ndiyo maana hata yeye hana imani nayo ameamua kuondoka na ile nafasi ya ushauri haitaki.
Nikajibiwa ushauri atafanya huku anakua kocha Austria. Baada ya siku kadhaa akajiuzulu huo ushauri. So mi narudia tena kusema kwamba timu bado haina project ya maana.
Mashabiki wa United Pogba alisema hawajui mpira. Ni ngumu kidogo kumpinga Pogba kwenye hili hebu kumbuka jinsi mashabiki walikua wanapiga kelele wanahitaji winga na winga ni Sancho.
Sancho amekuja. Ana magoli 3 katika mechi 30. Lakini huwasikii mashabiki wakisema kwamba wanahitaji winga yaani wanazuga kua tatizo la winga limeisha.
Wakaanza leta lawama kwamba wanahitaji DM. Mi ninavyojua Fred ni DM na Scot ni DM, ila mashabiki wanaamini Rabiot ndiyo dawa ya hii ishu. Sasa waulize hao mashabiki kama wamewahi muona Rabiot akicheza.
Rabiot alikua mzuri akiwa PSG, akaenda Juve akawa average, Juve na PSG zipo ligi mbili tofauti yawezekana alishine PSG kwakua PSG ipo farmers league. Akiwa Juve akawa hapangwi akaanza maneno yeye na mama yake wakawa wanaishambulia Juve mitandaoni.
Sasa mchezaji wa tabia hizi akija timu ambayo ipo hovyo tutarajie nini? Sasa jiulize ni kweli mashabiki walihitaji winga au walimhitaji Sancho? Na saa hii ni kweli wanahitaji DM au wanamhitaji Rabiot?
Narudia tena. Shida ya United ni kocha.
Wasamehe mwambaaUko Europa Napo mutashikwa shikwa Hadi mfike kikeleni😂😂😂🤣🤣🤣
Acha tuwape za uso maana prisezon walitusumbua Sana ..walifika atua ya kudai kombe wakati ligi bado ijaanza.Wasamehe mwambaa