Kauli yake hii mweyewe nilikaa kimya nione ana maajab gan kumbe 🚮Ten Hag kitendo cha kusema anawachezaji wazuri nilimwona ni mjinga kabisa..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu naona umefurahia sana Maguire kukandwa.Taarifa:
Kuna jamaa mmoja huwa anatusumbua sana kule Arsenal thread anaitwa Flano muda huu kawahishwa ICU.
I'm here boss[emoji16][emoji16] furaha ni pamoja na kuchapwa kama hivi.
Na Nunez na Salah na Kane na Son na JesusBado halaand anawasubiri kwa haaamu [emoji23]
Mkuu hapo jamaa alizingua pakubwa hata kama hakumtaka Ralf angemsikiliza kuhusu hii teamTen Hag kitendo cha kusema anawachezaji wazuri nilimwona ni mjinga kabisa..