Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
Noted.We na Ronaldo wako unaboa sasa, mtu yupo kwenye kikosi na kaingizwa kipindi cha pili wakati timu ishafungwa goli mbili bila na bado unalaumu kwnn kaingia ulitaka asiingie ili awe analipwa mshahara wa bure? Punguza bias basi, kuna mda uwe rational bhn.
We na Ronaldo wako unaboa sasa, mtu yupo kwenye kikosi na kaingizwa kipindi cha pili wakati timu ishafungwa goli mbili bila na bado unalaumu kwnn kaingia ulitaka asiingie ili awe analipwa mshahara wa bure? Punguza bias basi, kuna mda uwe rational bhn.
Dah yani nashangaa fans wenzangu mnavyo lalamika yani hivi mlitegemea nini cha ajabu man u tutafanya msimu huu.
Yani kocha hata mechi 10 ajamaliza kelele mbona tulikubalia humu kuwa msimu huu tusitarajie makubwa mmekuwaje hivi.
Hivi mnajua mki panic mashabiki mna mpa kocha nae pressure ya kufanya nae a panic.
Mimi kama allypipi kwangu kwenda big 4 au kushinda ueropa naona ndo yatakuwa mafanikio makubwa kwetu msimu huu hakuna jipya.
Nakushauri tu kama una tegemea makubwa kutoka kwa Manchester united msimu huu bora uache kufatilia mpira tu Mpaka pale utaposikia mambo yapo sawa.
hata Ac milan wamekaa muda lakini wamevumilia msimu ulio kwisha wametwaa taji.
Inabidi tu tukubali kwamba kwa sasa hatuna uwezo huo wakujilinganisha na liver,city
Tuvumilie tu ndo timu yetu.
Mkuu,
Weakness ya Martinez siyo speed ni physique(esp. Height yake)
Unawezaje kucheza high line ikiwa beki wako hana pace?
Kwenye huu mfumo, Which factor can be compromised, pace au ball playing ability ya defender? Pengine mm ndo sielewi au
Who is more suited kwenye huu mfumo wa high line? Maguire au Bailly?
Wote tunafahamu Maguire hana pace, tukicheza high line anakuwa exposed. Msimu wa 19/20 kuna kipindi tulicheza mechi kadhaa bila ku concede, tulikuwa tunacheza low block na Maguire alishine sana.
Sasa unaposema Bailly anafit kwenye low block pekee nashangaa
Umemaliza kila kitu.By any means inabid mpate DEFENSIVE MIDFIELDER
Mtafuteni mtu mfanano na partey au fenandinho
Hayo menginge yatakaa sawa.
Nilishawai kusema na nasema tena
Hapa dunia hakuna beki akipelekewa moto mara nne mfululizo asipoteane
Tutamlaumu magwaya bure tu
Huyu Martinez soon mtaona kama mmepigwa
Ni Ronaldo amesababisha adrop.Ila Fernandes aisee amedrop sana..sijui wenzangu mnamuonaje..
Tupambane mizigo yote iondoke. Rashford, Maguire, Fred, Mctomy, Martial and last but not least Phil Jones japo huwa simuoni kama ni mchezaji.Mnalalamika nini
Kwa sasa kocha yupo bize kutengeneza mfumo ukishakubali tu kuna wachezaji wenyewe watadondosha namba au kuomba kuondoka...........
Ila Fernandes aisee amedrop sana..sijui wenzangu mnamuonaje..
Tupambane mizigo yote iondoke. Rashford, Maguire, Fred, Mctomy, Martial and last but not least Phil Jones japo huwa simuoni kama ni mchezaji.
Ungeangalia Mechi ungelia machoziii...sikuangalia mechi, lakini kwa mujibu wa statistics, hasa kwenye ball possession basi naona timu iko poa ukilinganisha na mwaka jana.
Matokeo ya jana cocha yuko responsible kwa kuwapanga Shaw na Sancho ambao hawakuwa fit for the match almost during the whole of last week.
He even made it worse kwa kumuingiza Ronaldo.
Acha ujinga wew... Maguire hata kujiposition hajui fala yulee yanii mara ajipige mitamaaa ovyoo sanaaaHuwa humuoni kama mchezaji, sasa unamuona kama nani? Alafu Maguire ni bonge la beki, tatizo liko kwa kocha. Timueni kwanza huyo kocha anawachelewesha sana
Mtu anaposema eti Maguire alikuwa mzuri Leicester huwa simuelewi kabisa, kwamba anajisahaulisha Leicester ni timu ndogo au?Mkuu, bila kupata DM kwenye hii timu kila mchezaji tutaanza kumuona hamna kitu.
Hebu tujiulize ni kwanini Maguire alikuwa mzuri hapo Leicester na leo tunamuona mzembe?
Muda sio mrefu hata Martinez tutaanza kuona tumepigwa,timu haina mtu wa kuichezesha. Tominay akipata mpira anafanya kazi ya kurudisha nyuma kwa kipa,akitaka kwenda mbele ndio kituko zaidi hajui hata pa kuupeleka mpira.
Mimi nadhani tukipata DM ataongoza pale kati vizuri,pale kati pamekosa kiongozi hawa akina Macfred wanacheza kama wamekatwa vichwa lazima akina Maguire waendelee kuonekana vituko. Japo Maguire amekuwa mzembe mzembe bado siamini kama ni beki mbaya sana kama tunavyomsema.
Tatizo lingine lipo kwa DDG, uwezo wake wa kucheza na wachezaji ni mdogo sana,ni muoga na hajiamini kila akirudishiwa mpira anabutua. Sasa sijajua labda ni hawaamini wachezaji wake au ni yeye hajiamini.
Acha tu mzee, Huyu Maguire sijui ilikuaje tukamnunua kwa bei mara mbili ya Gharama tulizojengea UDSM new library.Mtu anaposema eti Maguire alikuwa mzuri Leicester huwa simuelewi kabisa, kwamba anajisahaulisha Leicester ni timu ndogo au?
There is a reason kwanini wameweka Timeline hio kufit narratives zao sababu msimu uliopita Rabiot alikuwa ni Mezzala.ππππππ Rabiot hawez kuongeza chochote , endeleeni kuleta mizigo
View attachment 2318632
Natural Ralf hawezi Kumshauri ETH, tabu ya hii club ni kwamba kila siku tunaajiri mifumo mipya, kama tulitaka ushauri wa Ralf, ETH hakupaswa kuja, ilibidi Aje mtu mwengine mwenye Philosophy za Kijerumani.Licha ya kufanya changes kwenye top management club bado ina shida,ilikuwa big mistake kumpa kazi Ralf Rangnick then baadae akafukuzwa,moja ya sababu kubwa kumpa kazi ilikuwa aje kuwa mshauri na i believe kipindi alichokaa tayari kuna matatizo mengine aliyagundua na alishaanda ushauri kwenye some decision.
Now ETH ana-struggle kwenye some issue but RR alisha-observe mengi i hope angemsaidia,kuna matatizo ETH atayajua baada ya msimu kuisha ndio maana ameanza kutaka kufanya panic buy baada ya kufungwa juzi.Natural Ralf hawezi Kumshauri ETH, tabu ya hii club ni kwamba kila siku tunaajiri mifumo mipya, kama tulitaka ushauri wa Ralf, ETH hakupaswa kuja, ilibidi Aje mtu mwengine mwenye Philosophy za Kijerumani.
Eth kuondoka sio issue, ila kuwa na Consistency ya makocha ndio tunakosea.Now ETH ana-struggle kwenye some issue but RR alisha-observe mengi i hope angemsaidia,kuna matatizo ETH atayajua baada ya msimu kuisha ndio maana ameanza kutaka kufanya panic buy baada ya kufungwa juzi.
ETH anaweza fukuzwa au jiuzulu within 2 years then tukaanza upya
Ungeangalia Mechi ungelia machoziii...