Yaani wee kama gk utasubutu kumwamzishia mpora magwaya😲😲😲Mkuu, bila kupata DM kwenye hii timu kila mchezaji tutaanza kumuona hamna kitu.
Hebu tujiulize ni kwanini Maguire alikuwa mzuri hapo Leicester na leo tunamuona mzembe?
Muda sio mrefu hata Martinez tutaanza kuona tumepigwa,timu haina mtu wa kuichezesha. Tominay akipata mpira anafanya kazi ya kurudisha nyuma kwa kipa,akitaka kwenda mbele ndio kituko zaidi hajui hata pa kuupeleka mpira.
Mimi nadhani tukipata DM ataongoza pale kati vizuri,pale kati pamekosa kiongozi hawa akina Macfred wanacheza kama wamekatwa vichwa lazima akina Maguire waendelee kuonekana vituko. Japo Maguire amekuwa mzembe mzembe bado siamini kama ni beki mbaya sana kama tunavyomsema.
Tatizo lingine lipo kwa DDG, uwezo wake wa kucheza na wachezaji ni mdogo sana,ni muoga na hajiamini kila akirudishiwa mpira anabutua. Sasa sijajua labda ni hawaamini wachezaji wake au ni yeye hajiamini.
Alafu ndo fowardJadon Sancho since arriving in the Premier League:
• 30 games
• 3 goals
• 3 assists
A flop nobody is talking about.




Ukitoa drama zake nje ya uwanja Rabiot anatufaa mkuu, na inasemekana Kocha mwenyewe amempigia simu, hivyo huwenda akaenda straight kwenye first 11.Chief-Mkwawa mkuu hivi hatatufaha kweli uyu kwenye kiungo chetu
Maana naona kama anaweza kuja hivi.View attachment 2319111
Nasikia mama yake ambayo ndo wakala wake anazingua sanaUkitoa drama zake nje ya uwanja Rabiot anatufaa mkuu, na inasemekana Kocha mwenyewe amempigia simu, hivyo huwenda akaenda straight kwenye first 11.
Tulivyocheza na Brighton tukicheza hivyo against big teams aibu kubwa sana itatupata.Chief stats zao haziwezi kuwa juu kwenye kukaba sababu most of the time wao ndio wanamiliki mpira na there is nothing to destroy when you have most of the ball na inategemea unawalinganisha,Kante hata kama sio DM but ni mchezaji muhimu kuliko Jorginho na ndio anamfanya Jorginho awe free.Assesment yangu sio kwa game ya juzi i will be back tukicheza hizi big match kama 2
Adrien Rabiot ni kiungo mzuri ila tabia yake mtihani mkubwa.Chief-Mkwawa mkuu hivi hatatufaha kweli uyu kwenye kiungo chetu
Maana naona kama anaweza kuja hivi.View attachment 2319111
Hata Roy Kean watu walimcheka sana Ferguson. Nadhani aje na kipaji chake, tabia tutavumilia.Adrien Rabiot ni kiungo mzuri ila tabia yake mtihani mkubwa.
Tujapata pogba mpya kweli hapa mzee,maana tumechoka na wachezaji wa drama.Ukitoa drama zake nje ya uwanja Rabiot anatufaa mkuu, na inasemekana Kocha mwenyewe amempigia simu, hivyo huwenda akaenda straight kwenye first 11.
Roy keane utukutu wake ulikuwa ndani ya uwanja sio nje sasa hawa wa nje ya uwanja ndo hatari.Hata Roy Kean watu walimcheka sana Ferguson. Nadhani aje na kipaji chake, tabia tutavumilia.
Ngoja tuone uzuri atakuja kama low profile player huenda akatuliaHata Roy Kean watu walimcheka sana Ferguson. Nadhani aje na kipaji chake, tabia tutavumilia.
Afanye kumvunja HAALAND au NUNEZMaguire amejiapiza iko siku atamvunja mguu mshambuliaji wa timu pinzani.
Wanadai miaka ya karibuni Amepunguza, ngoja tuone.Tujapata pogba mpya kweli hapa mzee,maana tumechoka na wachezaji wa drama.
ndio kawashika miguu rashford,mctominay,shaw na maguireNi Ronaldo amesababisha adrop.
Thank God..Dili la Arnautovic kutua OT "limekufa rasmi" Utd wataangalia washambuliaji wengine.