Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie nafasi yenu ni kuanzia tano huko...top four sahauni kabisa aisee
Asernal eee kweli kabisa.

Hii kitu ya de jong inanisononesha Sana. Waandish wa habari wanatabia ya kuelezea inner core ya Hali ilivyo japo inauma.
Screenshot_20220808-204001.jpg

Hiki mitandaoni mara usome uridhike mara utiwe pressure, jaman Umri imeenda tutakufa!

Nakumbuka nilichukia sana alcantara huyu kiungo alitugomea mazima, nikaumia sana maskin Mimi, Luca modric alituchomolea kama Dem wa masaki, akaangukia Madrid na mafanikio Yao, maamae tukasota Hadi leo, huyu de jong naye anaongea yaani kama vile sisi hatujawahi kuingia champion. Anaongea hovyo kwamba the blue kwake ndiyyo kila kitu, atagombea Mataji. Jamani tuna kimavi Gani sisi,


Kwa Sasa Kuna mchezaji kama rabiot anaipenda timu yetu, vile vile kiungo savic anatupenda man utd. Sasa sie Kwa nn tuhangaike na mijitu haitupendi??
 
Pre season ilikuwaje ..mbona mulikuwa munashinda.
Munaliwa kimasikhara Yani kiboya boya tu munapakuliwa

Manjestaa Ni Mandonga aliyechangamka ..mikwara mingi prisezon alafu kwenye ligi kirahissi munaliwa za uso madogo
Daaah hii ni ile interior kabisa,
Asante jf hakuna ubaguzi
 
Utd fans Ni sikio la kufa!
Tulishaambiwa ni Ni re-building,,, sio process ya siku moja au mwaka mmoja,,,,

Mnataka timu nzima isajiliwe kwenye window moja ? Ni Kitu ambacho hakiwezekani, hata kidogo ,,, ! It will take time,,,

Au mnataka tuchukue EPL na combination ya macFred? , !!!!

Wenzetu wako too professional kwenye kuendesha timu zao,sio Kama sisi huku Africa tunaendesha na mihemuko, kukomoana na siasa ! mfano kila window lazima wanaangalia outgoings na incomings, ili kubalance madaftari yao kibiashara na kuepuka rungu la FFP,,,, !!

EtH apewe muda, naamini board itamsapoti, ndani ya misimu walau miwili ndio tuje hapa tupime uwezo wake,,,,!!! Kuna kitu anakiongea Sana hatumuelewi(right player), alafu enzi za punic buying za Woodward zilishapita,,,, ! (rejea kina falcao, dimaria, rojo ,blind , n.k, mikataba minono , hamna wanacho-deliver)


Pep alipokuja city pamoja na wahuni wale wa kiarabu kumwaga hela atakavyo lakini ilimchukua zaidi ya msimu mmoja kuijenga city tunayoiona Sasa hivi,,, ,,

Vile vile klop alikuta magarasa kibao akayasafisha na kusajili karbia misimu minne, ndio liver tunayoiona Leo kila msimu wanagombania kombe,, !!!!

Utd sasa baada ya mechi moja kila mtu anaongea yake,,, serious tunataka kuchukua epl au , !! EtH sio kocha mmbaya, tumpe muda, tukubali kebehi, maumivu na masimango ya kila namna kutoka kwa majirani zetu ,,, !!

Thought on other teams,,, ??
City untouchable

Liver wako Good, mid yao tia maji tia maji waombe Sana wachezaji wao wawe fit na consistent!

Arsenal ni Ile ile miaka nenda rudi

Chelsea wakikaza wanaweza kuingia top four

Spurs,,,dah Conte tunamchukulia poa ila this time anaweza kutupa lesson!

Trust the process,,, Glory Glory Utd
Huu ni upuuzii apewe mda gan kwamba n shamba la bibi kila mtu akija apewe muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah yani nashangaa fans wenzangu mnavyo lalamika yani hivi mlitegemea nini cha ajabu man u tutafanya msimu huu.

Yani kocha hata mechi 10 ajamaliza kelele mbona tulikubalia humu kuwa msimu huu tusitarajie makubwa mmekuwaje hivi.

Hivi mnajua mki panic mashabiki mna mpa kocha nae pressure ya kufanya nae a panic.

Mimi kama allypipi kwangu kwenda big 4 au kushinda ueropa naona ndo yatakuwa mafanikio makubwa kwetu msimu huu hakuna jipya.

Nakushauri tu kama una tegemea makubwa kutoka kwa Manchester united msimu huu bora uache kufatilia mpira tu Mpaka pale utaposikia mambo yapo sawa.

hata Ac milan wamekaa muda lakini wamevumilia msimu ulio kwisha wametwaa taji.

Inabidi tu tukubali kwamba kwa sasa hatuna uwezo huo wakujilinganisha na liver,city

Tuvumilie tu ndo timu yetu.
 
We kenge kumbe na wewe unajua ku foka
We na Ronaldo wako unaboa sasa, mtu yupo kwenye kikosi na kaingizwa kipindi cha pili wakati timu ishafungwa goli mbili bila na bado unalaumu kwnn kaingia ulitaka asiingie ili awe analipwa mshahara wa bure? Punguza bias basi, kuna mda uwe rational bhn.
 
Wambie pia Liverpool alijiandaa miaka 30 mpaka kuja kuchukua ubingwa.
Dah yani nashangaa fans wenzangu mnavyo lalamika yani hivi mlitegemea nini cha ajabu man u tutafanya msimu huu.

Yani kocha hata mechi 10 ajamaliza kelele mbona tulikubalia humu kuwa msimu huu tusitarajie makubwa mmekuwaje hivi.

Hivi mnajua mki panic mashabiki mna mpa kocha nae pressure ya kufanya nae a panic.

Mimi kama allypipi kwangu kwenda big 4 au kushinda ueropa naona ndo yatakuwa mafanikio makubwa kwetu msimu huu hakuna jipya.

Nakushauri tu kama una tegemea makubwa kutoka kwa Manchester united msimu huu bora uache kufatilia mpira tu Mpaka pale utaposikia mambo yapo sawa.

hata Ac milan wamekaa muda lakini wamevumilia msimu ulio kwisha wametwaa taji.

Inabidi tu tukubali kwamba kwa sasa hatuna uwezo huo wakujilinganisha na liver,city

Tuvumilie tu ndo timu yetu.
 
Mkuu,
Weakness ya Martinez siyo speed ni physique(esp. Height yake)
Unawezaje kucheza high line ikiwa beki wako hana pace?
Kwenye huu mfumo, Which factor can be compromised, pace au ball playing ability ya defender? Pengine mm ndo sielewi au
Who is more suited kwenye huu mfumo wa high line? Maguire au Bailly?

Wote tunafahamu Maguire hana pace, tukicheza high line anakuwa exposed. Msimu wa 19/20 kuna kipindi tulicheza mechi kadhaa bila ku concede, tulikuwa tunacheza low block na Maguire alishine sana.
Sasa unaposema Bailly anafit kwenye low block pekee nashangaa


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
By any means inabid mpate DEFENSIVE MIDFIELDER

Mtafuteni mtu mfanano na partey au fenandinho

Hayo menginge yatakaa sawa.

Nilishawai kusema na nasema tena
Hapa dunia hakuna beki akipelekewa moto mara nne mfululizo asipoteane

Tutamlaumu magwaya bure tu

Huyu Martinez soon mtaona kama mmepigwa
Umemaliza kila kitu.

Mctominay sio Holding wakutegemea kabisa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom