Utd fans Ni sikio la kufa!
Tulishaambiwa ni Ni re-building,,, sio process ya siku moja au mwaka mmoja,,,,
Mnataka timu nzima isajiliwe kwenye window moja ? Ni Kitu ambacho hakiwezekani, hata kidogo ,,, ! It will take time,,,
Au mnataka tuchukue EPL na combination ya macFred?

, !!!!
Wenzetu wako too professional kwenye kuendesha timu zao,sio Kama sisi huku Africa tunaendesha na mihemuko, kukomoana na siasa ! mfano kila window lazima wanaangalia outgoings na incomings, ili kubalance madaftari yao kibiashara na kuepuka rungu la FFP,,,, !!
EtH apewe muda, naamini board itamsapoti, ndani ya misimu walau miwili ndio tuje hapa tupime uwezo wake,,,,!!! Kuna kitu anakiongea Sana hatumuelewi(right player), alafu enzi za punic buying za Woodward zilishapita,,,, ! (rejea kina falcao, dimaria, rojo ,blind , n.k, mikataba minono , hamna wanacho-deliver)
Pep alipokuja city pamoja na wahuni wale wa kiarabu kumwaga hela atakavyo lakini ilimchukua zaidi ya msimu mmoja kuijenga city tunayoiona Sasa hivi,,, ,,
Vile vile klop alikuta magarasa kibao akayasafisha na kusajili karbia misimu minne, ndio liver tunayoiona Leo kila msimu wanagombania kombe,, !!!!
Utd sasa baada ya mechi moja kila mtu anaongea yake,,, serious tunataka kuchukua epl au



, !! EtH sio kocha mmbaya, tumpe muda, tukubali kebehi, maumivu na masimango ya kila namna kutoka kwa majirani zetu ,,, !!
Thought on other teams,,, ??
City untouchable
Liver wako Good, mid yao tia maji tia maji waombe Sana wachezaji wao wawe fit na consistent!
Arsenal ni Ile ile miaka nenda rudi
Chelsea wakikaza wanaweza kuingia top four
Spurs,,,dah Conte tunamchukulia poa ila this time anaweza kutupa lesson!
Trust the process,,, Glory Glory Utd