Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

9C26A04C-99A9-4903-8D9F-4104610A2526.jpeg
 
Hiki ndicho kitu watu wengi humu hawakielewi. Wana matarajio ya ajabu kweli kweli, lazima tukubali kupitia misimu miwili ya tanuli la moto.

Sasa hivi naona juu kule ktk bodi wameanza kugundua ni zaidi ya pesa inayohitajika ili kujenga timu nzuri. Unahitaji watu sahihi kwanza kabla ya kuanza kutumia pesa.
We nae tupitie misimu miwili ya tanuli la moto, akati sisi wenyewe tumekuwa ndio tanuri la moto lenyewe misimu ya kutosha.

Umeanza kushabikia manchester united mwaka gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New season new hopes,,,,,

Guys hii timu iko na uozo mwingi,,,, !!!! Tumpe muda ETH ajenge timu, asajili wachezaji wanaoendana na mfumo wake ,,,,

Huu msimu kuingia top four hio Ni Kama reward kwetu,,,, !!!! Kuna magalasa mengi Sana ya kuyaondoa ,,,,

So mwana utd usitegemee muujiza kwenye huu msimu,,,, !!!!!

All the best kwetu,,, ! Tukumbuke ETH alisema asipopata right player anaemuhitaji atatumia Hawa Hawa waliopo, means atawa_transform! Let's see !!!


#glory glory Mufc
 
Tutegemee performance nzuri regardless ya matokeo. Kikosi kilichoanza watu wote wana work rate kubwa, hamna ambaye atategea
 
Tuurudie angalau kwa wiki moja tu mkuu

Ata tukirudi nyuma
Cr7 yule japo alikua vizuri,
Messi acheni aitwe messi, ule uwezo sio wa kawaida katika uso wa dunia

Mlikua mnatuambia cr7 kacheza ligi ngumu EPL
Kwani timu kubwa za EPL hazitambui tabu za messi?
Tukianza na nyumbu wenyewe
I do not compare people. I have a well established brain capability to evaluate anything and anyone based on merit.
 
Back
Top Bottom