Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi za OT siku hizi kufungwa ni asilimia kubwa
 
Kimenuka ndani ya 'Theatre of daydreamer'.

Nilisema kuwa Man United lazima waanze kuzoea hali kama hii kwa sababu ni mwendelezo tu wa kile watakachokiona katika mechi nyingi.

Bora waendelee kukaa mpaka mechi iishe kwa sababu kwa hali hii kuna wakati wataanza kuondoka katika uwanja baada ya nusu saa ya mchezo kuanza.

Poleni wandugu kwa yaliyowapata sababu msiba wa jirani unakuwa pia ni wangu.

Hii ndiyo hali yenyewe.

David Moyes is the man!
 
Back
Top Bottom