Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Sidhani kama unaijua Man U kuliko mimi, anyway nikiwa andazi sijui wewe nani?
Everton wenyewe wanafurahi kuondoka kwa Moyes, kwamba sasa wanaweza hata kufuzu kucheza CPL.
Swali la msingi hujajibu,Moyes aondoke aje kocha gani?