Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwani Moye hakuwa na contract?
Timu ile ile amebadilika coach tu imekuwa kimeo mwambie SAF arudi kuokoa jahazi venginevyo CL ikikosekana majanga yatakuwa makubwa kama sio kukimbiwa na wachezaji
Pep alishasign contract na Bayern msimu mmoja kabla
 
Hahahahahaha lol!!!!! Chezeya More No weye!!! watu wameadhirika banaaaa wamenuna ile mbaya 🙂 uwe muangalifu mtaani banaaa #Mburukenge wasiharibu reception na tindikali lol!!!! Man Utd 1-2 Swansea

Mkuu hilo ndio jina la moyes?
 
Kweli Man U hamshikiki kwa Kufungwa mnaongoza mechi ya sita leo Old Traford mnapigwa kweli Miracle Theatre imewajeuka

View attachment 91228

hdwallpapers2302.jpg

Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi. Tuendelee kuzibua vizibo.

Kanyaga twende.
Kweli Man U hamshikiki kwa Kufungwa mnaongoza mechi ya sita leo Old Traford mnapigwa kweli Miracle Theatre imewajeuka
 
Kwani Moye hakuwa na contract?
Timu ile ile amebadilika coach tu imekuwa kimeo mwambie SAF arudi kuokoa jahazi venginevyo CL ikikosekana majanga yatakuwa makubwa kama sio kukimbiwa na wachezaji

Chifu, ukiweka unazi pembeni, ni hivi:

Pep ndo alikuwa amesaini mkataba mpya na Bayern.....wakati David alikuwa yupo na timu zaidi ya miaka 10......

Ila washabiki wa Arsenal kwa hili mnafurahisha, nawauliza kila mara kwa miaka 9 sasa, bila kikombe Arsene Chenga sio kimeo? Au kwa vile umekuwa mkichukua ubingwa wenu ule?!
 
Duuh!! nimegundua kwanini watu hawapendi kuchezea mechi zao nyumbani.
But mkumbuke nyumbani ni nyumbani hata kama "KICHAKANI" jamani!!
By the way naona Mshazoea.
 
Duuh!! nimegundua kwanini watu hawapendi kuchezea mechi zao nyumbani.
But mkumbuke nyumbani ni nyumbani hata kama "KICHAKANI" jamani!!
By the way naona Mshazoea.

Nashangaa wewe ulivyokuja nilikufunga kirahisi
 
Chifu, ukiweka unazi pembeni, ni hivi:

Pep ndo alikuwa amesaini mkataba mpya na Bayern.....wakati David alikuwa yupo na timu zaidi ya miaka 10......

Ila washabiki wa Arsenal kwa hili mnafurahisha, nawauliza kila mara kwa miaka 9 sasa, bila kikombe Arsene Chenga sio kimeo? Au kwa vile umekuwa mkichukua ubingwa wenu ule?!
Hilo unaloita "kombe lao" nalo bado hamtalipata msimu huu!
Msipofuzu uefa ni historia yenu mpya mmeweka. Ni bora na hiyo nafasi ya nne mkuu kuliko nafasi ya nane! a
 
Sidhani kama unaijua Man U kuliko mimi, anyway nikiwa andazi sijui wewe nani?

Everton wenyewe wanafurahi kuondoka kwa Moyes, kwamba sasa wanaweza hata kufuzu kucheza CPL.

Hongera kwa kuijua timu vizuri kuliko mimi.

Inapaswa ujue kwamba hata Sir Alex ilimchukua muda kuanza kushinda makombe baada ya kuja Manchester utd iliyokuwa na historia kubwa uingereza. Alikuja 1986 alishinda kombe la FA 1990 na ligi kuu 1993, hivyo akaweza kutengeneza vikosi mbalimbali ambavyo viliweza kutwaa mataji mengi na kuifanya manchester utd kuwa timu yenye mashabiki wengi duniani, na timu inayovuta hisia za watu wengi (mashabiki wengi wa soka ni either wanashabikia manchester au wanaichukia manchester).

Hivyo kuvaa viatu vya SAF haiwezi kuwa walk in the park ndo maana hata wakina Guardiola waliogopa.

Huwezi kusema mashabiki wa Everton wanafurahia Moyes kuondoka na Martinez kuja. Wigan ya Martinez ingawa ilichukua FA msimu uliopita, pia ilishuka daraja na misimu kabla ilikuwa kwenye relegation dogfight na timu nyingine.

Moyes mwaka 2005 aliweza kumaliza top 4 akiwa na limited budget na liverpool ilimaliza ya 5.

Vile vile DM anategemewa kukaa muda mrefu kwenye timu tofauti na makocha aina ya mourinho.

Kwenye mechi ya mwisho ya nyumbani msimu uliopita Sir Alex alisema kwamba mashabiki wampe muda kocha anayekuja (DM) kama unaijua sana Manchester nadhani hilo unalikumbuka.

Moyes anaweza kuwa alikosea kubadilisha benchi la ufundi na kuja na watu wake, baada ya kuwaondoa wakina mike phelan, eric steele, renee maulesteen na wengineo. Pia anaweza kuwa alikosea katika usajili wa majira ya joto. Pia anaweza kuwa amekosea katika kufanya substitution katika baadhi ya mechi na hivyo kupelekea timu kufungwa lakini Manchester utd bado ina uwezo wa kuchukua ligi kuu (tunazidiwa pts 11 na anayeongoza, 2008/2009 scousers walituzidi pts 12 lakini bado tulichukua kombe. Vile vile timu bado ipo kwenye champions league na League Cup
 
On the other hand, tbh, SAF left the club with average players. But, b'se he was the genius, he had the ability to make an average player, a world class player in disguise.

David's task is to create, buy and develop players that would fit his tactics and philosophy for the good of the team.

I still give him 100% support and trust.

Let's do this #ManUnited
 
Chifu, ukiweka unazi pembeni, ni hivi:

Pep ndo alikuwa amesaini mkataba mpya na Bayern.....wakati David alikuwa yupo na timu zaidi ya miaka 10......

Ila washabiki wa Arsenal kwa hili mnafurahisha, nawauliza kila mara kwa miaka 9 sasa, bila kikombe Arsene Chenga sio kimeo? Au kwa vile umekuwa mkichukua ubingwa wenu ule?!

Fungie alikaa miaka mingapi old trashford bila kikombe .... .... .... .... ... Wacha ngebe ongelea timu yako ambayo share zake zinaporomoka kama uyoga Phew! Get a life nafahamu una huzuni lakini huzuni yako haiwezi kuifanya Gunners ishike mkia kwenye kinyang'anyiro cha EPL .... .... ... ... Washabiki halisi wa Manure wote wamekimbia umebaki wewe kuwangawanga tu baada ya kuja juzi tu hapa na historia yako ya Manure imeanza 1996 wakati prof ameingia Emirates fact. Another fact umeanza kushabikia Manure wakati wa wimbi kubwa la mashoga Fact.

Hii ni timu ile ile aliyoiacha Fungie hujiulizi kwa nini haishindi kama wakati wa Fungie? Fact Brown envelopes zilitawala. USILIE SANA MBU KAKWAMBIA UTAZOEA TU.

khe khe khe khe keh keh khe keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nzi
Ushabiki wako wa kinazi weka pembeni, huchelewi kusema Arsenal, hapa tunazungumza Manchester United na kama mpenzi wa mpira
Moye alikuwa miaka 10 lakini kweli alistahili kuichukuwa Manu pale ilipo? Kweli SAF hakuweza kuenda nae kama trainee?
Kiushabiki, kwanini asichukuliwe Bruce au Hughes ambao wametokea Manchester na tayari wana uzoefu wa coaching?
Sio kawaida ya Man kufukuza coach(SAF aliiweza timu miaka yote) lakini timu zote hasa za UK wanatizama intrest zao ziko wapi, utakuja niambia kama Manchester wakikosa mapato wanayopata basi wala hawataona tabu ya kumfukuza Moye

Kama nilivyokueleza hapo juu Arsene yupo kwa intrest ya timu, kwa kumbukumbu zako tokea Arsene amekaa kwenye Arsenal ametengeneza kiasi gani ya mapato kulinganisha na timu nyingi kama sio zote za UK

Tujadili mpira kama wapenzi wa mpira ushabiki maandazi weka pembeni

Back
Top Bottom