Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

smalling leo hajatulia, labda ataimprove jinsi game inavyoendelea
 
Enjoy the game Sir Mbu

......hehehehhhh
Yaani kanipa jibu mwenyewe
Nimenywea...

Haya sasa, Swansea #Moja wao #Nunge ....

Sijui atawanunia wangapi!
Am out mpk filimbi ya mwishooo
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Pengo la Rooney linaonekana kabisa....Man inacheza taratibu kama haina haja na ushindi...
 
Timu yetu inahitaji mabadiliko makubwa, kuanza na kocha.

Moyes must GO immediately without delay.
 
Ushindi wa manutd kwa sasa ni wa kubahatisha si wa uhakika hasa uwanja wa nyumban
 
Back
Top Bottom