Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mzigo unaelekea kutick
Screenshot_20220714-164656_Instagram.jpg
 
Yani palipofikia Barca hawamtaki De Jong kuliko sisi tunavyomhitaji. Jamaa anawadai na bado wanataka aondoke kwa lazima yote ni kwasababu ya ukata uliopo Barca wanaimezea mate pesa ya United.

Barca na Madrid ni moja ya vilabu vya kishenzi kwa jinsi wanavyo-treat wachezaji wao.
 
Wameshakubaliana na Man u tayari
 
Achana na sisi wewe,tuache tufurahi japo kwa kidogo tulichonacho,yaani tufungwe tunune,tushinde tunune pia????kwendraaaaaaaa,

Kwanza tungefungwa hizo goli mngetuacha nyie???

Halaf acha kumfananisha ETH na vitu wa ajabu ajabu

Sawa sawa mkuu tufurahi pamoja we are happy, happy so happy
 
Back
Top Bottom