Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwangu mimi ikitokea hadi hii project ya EtH nayo imefeli,basi nitakuwa tayari kukubali kuwa mpira ni zama na ya kwetu itakuwa imepita kama ilivyopita ya Nottingham forest,arsenal,n.k

Kombe la kwanza la msimu tayari kibindoni.
Hahah! Hii project haiwezi feli japokuwa tunaweza kuwa vizuri ila kushinda kombe la PL au UEFA ni suala lingine tofauti na ubora wa timu.
 
Hivi Mason GreenWood inshu yake haiajisha?
IMG_20220713_112230.jpg
 
Achana na sisi wewe,tuache tufurahi japo kwa kidogo tulichonacho,yaani tufungwe tunune,tushinde tunune pia????kwendraaaaaaaa,

Kwanza tungefungwa hizo goli mngetuacha nyie???

Halaf acha kumfananisha ETH na vitu wa ajabu ajabu
Wanatakaje sijui?,
Tukishinda tabu, tukifungwa ndio kabisaa, hata usingizi hatupati ni mwendo wa kujambishwa tu.

Watuache jamani.
 
Halaf inshu ya FDJ kama imeshakufa as kwa habari za leo hii
Nikuulize kitu mkuu ikiwa tuna shida ya DMF Kwa nini tunasua sua kulipa Kwa FDJ.


Katika kumbukumbu zang tangu Roy Keane aondoke hatujawahi kuwaona kiundo mzuiaji na box to box middle. Baadae tuliwatumia tumia waliopo viungo Kwa kuibia chemistry ya wakina schole na wenzake ikasaidia. Shida ni kununua tulipambana tumnunue alcantara, mudric yaani tunakwama kote. Leo FDJ anasumbua yeye anataka abaki Barca, kocha hamtaki, tajiri Hana shida, sis tuna unyaunya. Yaani sielewi.

Aliyekuwa anaweza kukaa DMF ni matic ameondoka tunalizimisha mactomney, Fred, ambapo Hadi sasa labda mactonomy.

Hatuna box to box. Schole aliibia
 
Back
Top Bottom