Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Haya maneno mkiendelea kuongea tweeter ndio yatafanya wachezaji wa Liverpool wakikutana na man u sio mbinu za kocha Tena ni afe beki afe kipa[emoji23][emoji23][emoji23]kiufupi Kila mtu atakuwa na hasiraHivi hawa Liverpool walitufungaje goli 5 bila msimu ulioisha?
Natamani ligi ianze mapema,tushampata nahodha wa jahazi letu,EtH.
Kuna watu hapa watasema ni maandalizi tu,shauri yao bana,sisi tunahesabu kikombe cha kwanza hicho kwa msimu huu.