Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,891
Pale kwa magwaya beki hatuna kwakweli
Naona mnashangilia magwaya wenuMaguire is back..

Pale kwa magwaya beki hatuna kwakweli
Ila sio lindelof na shaw sio? Mbuzi wa kafara karudiMaguire is back..
Yule akirudi anawaambukiza wenzake ujingaIla sio lindelof na shaw sio? Mbuzi wa kafara karudi
Martial??He came from France..English press says he has no chance..
OfcourseMartial??











Kuna man u ya pre season na man u ya epl







akili kichwani mwakoKwendraaaaKuna man u ya pre season na man u ya epl
akili kichwani mwako
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Anatafutiwa magoli hafu anakosa kiboya (kama uliangalia kila mechi msimu uliopita utakubaliana nami).Tunao mkataa ronaldo msitubeze wengine tunapenda kuona kila mchezaji ana funga kama tuna vyoona hivi kwenye mechi za maandalizi ya msimu.
Sasa akiwepo ronaldo wachezaji wana muangaikia yeye tu sio kwamba hatu mpendi ronaldo ila kwa sasa hakae pembeni tu tujenge timu ya vijana.