Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aende Australia sasa
 

Attachments

  • Screenshot_20220715-174138.jpg
    Screenshot_20220715-174138.jpg
    26.6 KB · Views: 18
Tunao mkataa ronaldo msitubeze wengine tunapenda kuona kila mchezaji ana funga kama tuna vyoona hivi kwenye mechi za maandalizi ya msimu.

Sasa akiwepo ronaldo wachezaji wana muangaikia yeye tu sio kwamba hatu mpendi ronaldo ila kwa sasa hakae pembeni tu tujenge timu ya vijana.
huyu mjinga sitaki hata kumsikia, aliharibu bilihani la 21/22 vibaya sana kwasababu ya maamuzi mabovu ya shortsighted fans and management.
 
Malacia, Lisandro na Eriksen kwangu mimi wanatosha. As always kale kajamaa kule tuwaachie mzigo wao Barcelona wamalizane nao.

Kama katamaliza mkataba wake na Barcelona katalamba zaidi euro 88M plus bonus. Hata mimi ningesema siondoki hata walete forklift.

Barcelona wanataka kutumia mgongo wetu kukwepa huu msumari wa makosa yao waliyofanya mwaka 2019. (they are 1.3 billion euros in debt - He's going to bleed them nails to toes)
 
Chelsea hawamtaki Ronaldo ..

Psg hawamtaki Ronaldo ...

Ronaldo haitaki man UTD

Sasa Ronaldo inabidi aache Mambo ya mpira ,nyakati zake zinaenda kuisha ...

Hivi kweli TT ni WA kumkataa Ronaldo
 
Sidhani kama ataenda kama ilivyo kwa Lisandro. Kule ni mbali sana inachukua masaa 20+ kufika ukitokea Uingereza au Denmark.

Muda huu wenzao wakiwa kule wao wajikite kuhamia ktk nyumba zao na kutetembea mazingira ya Carrington.
FDJ shida ni nini... simuelewi
 
Back
Top Bottom