Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,147
Ni mingi sanaNgoja nisubiri kama misimu miwili mitatu hivi.
Ni mingi sanaNgoja nisubiri kama misimu miwili mitatu hivi.
Magazit mengi yanaongea Sana na sinuhalisiaHalaf inshu ya FDJ kama imeshakufa as kwa habari za leo hii
Pamoja na yoote tukubali tu pamoja na mabadiliko yoote bado tuna shida kwenye bargaining,tunabagain saana,halaf mwisho tunatoa hela ile ile.Nikuulize kitu mkuu ikiwa tuna shida ya DMF Kwa nini tunasua sua kulipa Kwa FDJ.
Katika kumbukumbu zang tangu Roy Keane aondoke hatujawahi kuwaona kiundo mzuiaji na box to box middle. Baadae tuliwatumia tumia waliopo viungo Kwa kuibia chemistry ya wakina schole na wenzake ikasaidia. Shida ni kununua tulipambana tumnunue alcantara, mudric yaani tunakwama kote. Leo FDJ anasumbua yeye anataka abaki Barca, kocha hamtaki, tajiri Hana shida, sis tuna unyaunya. Yaani sielewi.
Aliyekuwa anaweza kukaa DMF ni matic ameondoka tunalizimisha mactomney, Fred, ambapo Hadi sasa labda mactonomy.
Hatuna box to box. Schole aliibia
Mbon aliwatesa Sana ChelseaLisandro Martinez.
Hii dili ipo complicated maana fdj anawadai barc pesa ndefu ndio maana anagoma kuondoka hafi apewe chakePamoja na yoote tukubali tu pamoja na mabadiliko yoote bado tuna shida kwenye bargaining,tunabagain saana,halaf mwisho tunatoa hela ile ile.
Inshu ya FDJ mwanzon ilikua rahisi sana ila kwa sasa inaonekana na mchezaji anaanza kugoma.
Kuhusu DMF,amini huyu Martinez ndo atacheza box to box,na Man u washajua ile ya De jong ni ngumu ndo maana nguvu yote wameelekezea kwa martizen.
Bado tunashida kwenye usajili,na sio sababu ya Europa league pekeake,na nnazani matajiri wa man u wanachangia kwa kiasi kikubwa kudelay
Mbwa wewe!Kwa hii man u legelege Kama utumbo wa konokono mkuifunga Liverpool mniete mbwa Niko pale nimekaa
Mbwa KokoKwa hii man u legelege Kama utumbo wa konokono mkuifunga Liverpool mniete mbwa Niko pale nimekaa
Here we go..Lisandro Martinez 95%
Eriksen sio official ila imekuwa reported wameshakubaliana kwa mdomo, bado tu kupima afya na kusaini mkataba.Ni yule dogo na martinez ndo tumesajili tangia dirisha lifunguliwe?!
ETH ana list ipi ya wachezaji ambao anataka kuwasajili?
FDJ atakuja kweli?.Eriksen sio official ila imekuwa reported wameshakubaliana kwa mdomo, bado tu kupima afya na kusaini mkataba.
Ngoma bado ngumu, ukitoa Hawa waandishi uchwara Tier 1 wetu wanasema deal linakwamishwa na Deferred wages.FDJ atakuja kweli?.
Breaking news,ingawa tushaanza kuchoka sasaFDJ atakuja kweli?.
Kuna clip niliona Fred kala push up mpaka kavimba mashavuMkiruhusu goli mnapiga kwanza push-upsjamaa mkali sana kwenye kazi ila pia anajenga mahusiano mazuri na wachezaji wake.

Eriksen na Malacia Done, Martinez leo Done pia bado kufanya transaction za fuedhaa aje kufanya medical, ni done deal. Bado FDJ na Anthony. Manchester united anaplay smart. FDJ bado yeye kukubali na anawait deferred payment yake tu ndo mana 21 iko reserved for him unless otherwise. So list ya ten hag ukitoa FDJ bado Anthony though tunamkimbiza Brobby wa RB alitokea Ajax kimyakimya, Peredes wa Psg pia. Kuhusu Tielman no approach made wala Neves. Hawa wawili itategemea deal la De jong.Ni yule dogo na martinez ndo tumesajili tangia dirisha lifunguliwe?!
ETH ana list ipi ya wachezaji ambao anataka kuwasajili?