Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiyo miaka yote mliyokaa bila kombe tatizo lilikuwa ni nani? Kubalini mna liteam libovu tu na sio kuwa mnatafuta wa kulaumu kila msimu ukiisha.

Mlianza na De gea kuwa anaifelisha team, baadae Lukaku, Pogba kisha akaja Rashford..Maguire..mkahamia kwa Fred, Martial..oooh Greenwood mchoyo anaifelisha team...oooh Bissaka hajui kutoa cross anaifelisha team...oooh Mc Tominay anazingua.....mara OLE OUT... Leo hii imefika zamu ya CR7.

Ilimradi tu mtafute kichaka cha kujifichia, sasa kama wachezaji wote mmewahi kuwalalamikia kuna team hapo? Pale Utd hakuna player hata mmoja aliyedumu kwenye kiwango chake ambaye unaweza kusema hata ni player wa maana (kama kwenye team nyingine kubwa) wote ni wa kuungaunga...kuna team hapo??

Tafuteni kiini cha tatizo na sio kupoint mchezaji mmojammoja, siku si nyingi mtaanza kutafuta mwingine wa kulaumu kwakua najua kombe hatupati hata moja na wala topfour hatingii tena msimu ujao.
We mjinga mwenzako kaweka namba halafu wewe unaleta upuuzi shwain
 
We mjinga mwenzako kaweka namba halafu wewe unaleta upuuzi shwain
Hizi stress za UMASIKINI na ugumu wa maisha pelekea ukoo wako na waliokuzaa, hakuna sehemu nimetukana mtu hapa kwahiyo usiniparamie hovyo.

Siwezi kukaa kuanza kutukanana na mtu mwenye akili daraja la tatu.
 
Nawewe weka namba
 
Mmeanza kujenga mnara wa babel
 
Lingard anaenda MLS asee kweli ubishoo kazi.
Mfano De gea anaipenda sana UTD ila sababu kubwa ya Kutaka kurudi spain ni Demu wake, di maria haipendi Manchester pamoja na Familia yake, Lukaku Huyo kaacha mahela kibao Uingereza karudi Italy sababu mfumo haumfai, Lingard timu kibao zinamtaka ikiwemo westham wanataka kumpa hela Ndefu kuliko anayoipata UTD, ila anaenda MLS sababu anaona lifestyle ile inamfaa akakuze Jlingz brand etc.
 
Hivi usajili utatuacha salama??

Dejong vipi mbona anakunyasana. Tuliwaacha wakina matic na ndio walau aikuwa box to box wetu. Wale Watoto waliokwenda Thailand yaani labda wakomae Sana, Kwa sababu punzi zao bado kidogo.
 
Jurgen Klopp’s first question at the press conference:

“The first question I have. Did it look like this yesterday when Man United was here as well?”

Reporters:

“NO.”

20220710_161706.jpg
 
Nilikuwa napitia haka kavideo wachezaji wakiwa kwenye flight Pana jambo nili note...

1. Sion dalili ya mchezaji kujiona wa maana kuliko wengine.
2. Kocha anauhakika akitaka ukileta habari zako za ujuaji kuweka bench.
3. Sioni Nafasi ya Ronaldo katika kuimarisha nidhamu ya timu. Ni hatari kumuweka kwenye 👗 room.
4. Namuona ETH kiongoz atakayeweza kuwasimamia vzr.. nakumbuka solsher aliwanyamazia Sana. ETH anaonekana pamoja na urafiki ni MTU serious. Ref kule ajax antisocial Kwa wachezaji.

Mkuu Chief-Mkwawa hivi kuna uwezekano wa ericksen kucheza kwa pamoja na Fernandez ndani ya mechi moja.

Maana naona viwango vyao kama ni vile vile tu wote ni wazuri kwenye kutengeneza nafasi.

Nipe takwimu zako mkuu kama wanaweza cheza pamoja.
Kunbuka mfumonwa ETH ni viungo wengi na washambuliaji wa2, viungo 5 bekin3
 
Jurgen Klopp’s first question at the press conference:

“The first question I have. Did it look like this yesterday when Man United was here as well?”

Reporters:

“NO.”

View attachment 2286247
Rent free
Halaard bana.. yaani uende timu flan Kwa ajili ya kupambana na man utd tu.

Mkuu Chief-Mkwawa hivi kuna uwezekano wa ericksen kucheza kwa pamoja na Fernandez ndani ya mechi moja.

Maana naona viwango vyao kama ni vile vile tu wote ni wazuri kwenye kutengeneza nafasi.

Nipe takwimu zako mkuu kama wanaweza cheza pamoja.
Wanacheza mkuu, kuna Mifumo mingi sana na mechi za kutosha. Eriksen anaweza cheza pembeni, no ya Bruno ama kiungo wa kawaida.

Siku unacheza na watoto wamepaki basi unawatupia tu wote humo ndani, siku mechi kubwa unahitaji kupress mmoja anakaa benchi kupisha kina fred etc.,
 
Nadhani mapungufu nayoyaona kwenye mitazamo yeni ni fikra zilizojikita kwenye dhana kwamba mpira ni wachezaji 11/22 ukiondoa red cards na dakika tisini ukiondoa muda wa nyongeza.

dhana hii ndio ileile inayoangalia timu yenye mabeki, mid fielders na strickers, ambayo sio ya msingi kiivyo.

mpira is alot of things, na Ronaldo amechangia alot of negative things kwenye timu msimu uliopita, hivyo aondoke zake.
1. Hata sasa, Ronaldo ni nani mpaka ahoji situation ya timu kusajiri? hivi hao wachezaji waliopo ambao wanacheza nafasi ambazo inasemekana inabidi waje wachezaji wengine wanamchukuliaje Ronaldo? kama mwenzao? Yaani hataki kucheza na wachezaji waliopo?

2. Ronaldo alipofika alitengeneza kakundi ka waongea kispanish kwenye timu?

3. Hako ka kundi kakaanzisha Propaganda za Ronaldo awe Captain? hivi mnaelewa madhara ya upuuzi wa namna hii? kwa timu nzima?

4. Uwanjani, from day one, akawa analazimisha lazima yeye ndio apige mipira golini, huu upuuzi ndio yule dogo mjelajela aliukataa wakakosana akaanza kumsemea dogo mbovu? mshenzi yule mipira yenyewe akipewa anapiga maboko, dakika 70 za mchezo kazi kujiangusha angusha na kulalamia wachezaji, marefa mpaka mashabiki.

5. eti top scorer, alifunga magoli 24 TUUUU, ANTONY MARTIAL MSIMU WA 20/21 ALIFUNGA MAGOLI 23 PIA. So huyo ronaldo hakuna jipya kwenye ufungaji alioleta pale uwanjani zaidi ya kulazimisha kuzuia watu wengine wote wasifunge.

kwa uchache, niko safari nikitulia ntarudia hapa kumtukana vibaya sana boya yule.
Mkuu ukiishiwa matusi (ya kumtukana) niambie nikuazime.
 
“Which team do you look forward to playing most this season?”

Erling Haaland: “I don’t like to say the words but… Manchester United, yeah.”

@Manchester_Utdfc
 
Wanacheza mkuu, kuna Mifumo mingi sana na mechi za kutosha. Eriksen anaweza cheza pembeni, no ya Bruno ama kiungo wa kawaida.

Siku unacheza na watoto wamepaki basi unawatupia tu wote humo ndani, siku mechi kubwa unahitaji kupress mmoja anakaa benchi kupisha kina fred etc.,
Vipi de jong unamuona hakicheza namba ngapi.
 
Mkuu Chief-Mkwawa hivi kuna uwezekano wa ericksen kucheza kwa pamoja na Fernandez ndani ya mechi moja.

Maana naona viwango vyao kama ni vile vile tu wote ni wazuri kwenye kutengeneza nafasi.

Nipe takwimu zako mkuu kama wanaweza cheza pamoja
Pep system hiyo, Double 8/10

Lazima uwe na kiburi
 
Back
Top Bottom