Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watu mna mategemeo makubwa sana, mimi kwa yanayoendelea hata sijipi presha wacha ligi ianze tuonee.

maana kipindi RR anaingia nilidhani tutaanza kufanya poa ila ndo utumbo na hivi sioni hata sajili wakati vikosi bora kama man city, liver ,Madrid wanasajili sisi kimya hata mmoja na ndo kikosi kibovu ajabu.
 
Tukubali tukatae mpira sasa hivi ni biashara, utawaona Madrid wajinga kutoa £100 kwa dogo wa miaka 22, au Liver kutanguliza hiyo £80 kwa Nunez, basi tusiwashangae wakinyanyua kwapa mwisho wa msimu au mashindano makubwa Uefa n.k anyway ngoja tuone maana kocha ashasema kikosi ni kizuri
Kwan Manchester hawakuwahi kutoa pesa ndefu kwa wachezaji lakn hakuna mafanikio? Mpira una mambo meng

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu kocha mpya akija anaona inahitaji marekebisho machache hata RR alisema hivyo lakini baada ya kufundisha ndio akajua kuwa kazi iliyopo ni ngumu sana na the way wachezaji walivyokuwa wancheza msimu uliopita kocha alikuwa sahihi kusema timu inahitaji kununua wachezaji wengi na kibaya zaidi ni kuwa tayari our main competitors(Liverpool & City) wako kwenye peak.Vikosi vyao vimeshakamilika na still wanaendelea kuboresha
Wachezaji watanunuliwa,lakini siyo Kwa wakati mmoja wanunuliwe 11 kama RR alivyo dai.
ETH atanunua wachezaji kuziba nafasi anazo ziona Zina mapungufu kwanza huku akiendelea kukisuka kikosi mdogo modogo,Kama Klopp alivyo fanya kipindi kuwatimua kina Mignolet na kina Staregi
Hii timu kocha mpya akija anaona inahitaji marekebisho machache hata RR alisema hivyo lakini baada ya kufundisha ndio akajua kuwa kazi iliyopo ni ngumu sana na the way wachezaji walivyokuwa wancheza msimu uliopita kocha alikuwa sahihi kusema timu inahitaji kununua wachezaji wengi na kibaya zaidi ni kuwa tayari our main competitors(Liverpool & City) wako kwenye peak.Vikosi vyao vimeshakamilika na still wanaendelea kuboresha

Tukubali tukatae mpira sasa hivi ni biashara, utawaona Madrid wajinga kutoa £100 kwa dogo wa miaka 22, au Liver kutanguliza hiyo £80 kwa Nunez, basi tusiwashangae wakinyanyua kwapa mwisho wa msimu au mashindano makubwa Uefa n.k anyway ngoja tuone maana kocha ashasema kikosi ni kizuri
Usajiri ni gambling Mkuu! Kina Hazard wako wapi? Grelish? Pepe?
 
Mkuu Issue ya Alvarez ilikuwa nje ya Uwezo wetu, Man City wanamtangaza Leo Alvarez haikuchukua Siku nyingi yule Pimbi Greenwood anafanya yake.

Kwa Greenwood tulikuwa Tayari tuna future Top striker tunamkuza Taratibu, ndio maana Hatukuwa na Umuhimu wa kutafuta Striker wakati una Ronaldo, Cavani na Greenwood.

Pia mimi naungana na ETH, kikosi chetu si kibaya kama watu wanavyotaka kutuaminisha, yazibwe tu Mapengo, priority iwe midfielder, Board ikinunua Midfielder 2 za kazi, beki wa pembeni, na Backup striker Tunaanza vizuri tu Msimu wetu, then kuanzia hapo ndio tutajua mbivu na mbichi, ambaye hatajituma na kumsikiliza mwalimu safari yake ndio itaishia hapo.
Hivi Greenwood anatarajiwa kurudi kikosini soon au ndo amepotezwa mazima na mambo ya PSEA?
 
Watu mna mategemeo makubwa sana, mimi kwa yanayoendelea hata sijipi presha wacha ligi ianze tuonee.

maana kipindi RR anaingia nilidhani tutaanza kufanya poa ila ndo utumbo na hivi sioni hata sajili wakati vikosi bora kama man city, liver ,Madrid wanasajili sisi kimya hata mmoja na ndo kikosi kibovu ajabu.
Wadau leo wanasema kikosi ni kizuri, na kinahitaji mabadiliko kidogo sana , tupewe uzima tutakumbushana hapa hapa..
 
Kama mkuu Darmian alivyojibu juu mpira wa miguu ni mchezo wa wachezaji 11, unahitaji Balance.

-wakati Ole anachukua Timu tulicheza 433 ila alivyooondoka Herera hatukuweza tena Kucheza huu mchezo, hivyo unaona Mchezaji mmoja tu Kaharibu mfumo mzima

-msimu unaofuatia nao hatukuanza vizuri na mfumo mpya wa 4231, mpaka kufikia january tupo nafasi ya 8, mechi 18 na point 25 tu.

-tukamnunua Bruno January, Missing piece, Ghafla timu nzima ika perform vizuri toka point 25 hadi 66, Nafasi ya 8 mpaka ya 3, wachezaji walioonekana wabovu ghafla nao waka perform vizuri.

-Then akaja Ronaldo balance ya Timu ikaharibika Tena. Mimi naamini kama Tungekuwa na DM/midfield za maana kina Maguire wasingekua exposed na Ronaldo asingehitajika Kukaba sana na Balance ya Timu ingepatikana.

Kwa ushahidi zaidi angalia Maguire asipokuepo si tunashindiliwa magoli ya Kutosha? Varana naye si anatoa maboko mengi tu kama Maguire? Lindelof je?

Kuna screenshot moja ilitumwa humu wakati wa mechi ya Chelsea, yaani kuna Gape karibia mita 20 ama 30 baina ya Midfield yetu na Mabeki, na Wachezaji wa Chelsea kibao. Hata Tungekuwa na Dias na Van Djik bado tungefungwa za kutosha tu.
Timu yetu ilikuwa inafungwa kwa sababu ilikuwa inacheza vibaya sana as a team.
 
Jamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kama kwl umeshawah kucheza mpira utakuwa unajua umuhimu wa kiungo mkabaji katka timu...
Tukipata DM timu yetu itakua na balance ata makosa kwm6 defence yetu yatapungua
Timu inakuwa exposed sana
 
IMG_0272.jpg

Manchester United na mambo ya usajili
 
Back
Top Bottom