Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kama kwl umeshawah kucheza mpira utakuwa unajua umuhimu wa kiungo mkabaji katka timu...
Tukipata DM timu yetu itakua na balance ata makosa kwm6 defence yetu yatapungua
sasa man anacheza nani kama si scot na mati c ?
 
Kama mkuu Darmian alivyojibu juu mpira wa miguu ni mchezo wa wachezaji 11, unahitaji Balance.

-wakati Ole anachukua Timu tulicheza 433 ila alivyooondoka Herera hatukuweza tena Kucheza huu mchezo, hivyo unaona Mchezaji mmoja tu Kaharibu mfumo mzima

-msimu unaofuatia nao hatukuanza vizuri na mfumo mpya wa 4231, mpaka kufikia january tupo nafasi ya 8, mechi 18 na point 25 tu.

-tukamnunua Bruno January, Missing piece, Ghafla timu nzima ika perform vizuri toka point 25 hadi 66, Nafasi ya 8 mpaka ya 3, wachezaji walioonekana wabovu ghafla nao waka perform vizuri.

-Then akaja Ronaldo balance ya Timu ikaharibika Tena. Mimi naamini kama Tungekuwa na DM/midfield za maana kina Maguire wasingekua exposed na Ronaldo asingehitajika Kukaba sana na Balance ya Timu ingepatikana.

Kwa ushahidi zaidi angalia Maguire asipokuepo si tunashindiliwa magoli ya Kutosha? Varana naye si anatoa maboko mengi tu kama Maguire? Lindelof je?

Kuna screenshot moja ilitumwa humu wakati wa mechi ya Chelsea, yaani kuna Gape karibia mita 20 ama 30 baina ya Midfield yetu na Mabeki, na Wachezaji wa Chelsea kibao. Hata Tungekuwa na Dias na Van Djik bado tungefungwa za kutosha tu.
Gap la Mita 20-30 ni makosa ya wachezaji kutotambua wajibu wao au ni mfumo wa kocha / kocha kawaelekeza wacheze hvyo?
 
Jamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kama kwl umeshawah kucheza mpira utakuwa unajua umuhimu wa kiungo mkabaji katka timu...
Tukipata DM timu yetu itakua na balance ata makosa kwm6 defence yetu yatapungua
Kwa nini makocha watano wameshindwa kuona shida ya DM tunaona wanalazimisha matic acheze box to box middle.

Kwa kweli nilichefukwq Sana na attitude ya solsisher kushindwa kuona umuhimu wa DM wkt akicheza na Keane aliona, alicheza na schole aliona.. nilimdharau Sana. Afadhari Moriinho alimtumia matic Sana. Nilimdharau Zaid alishindwa kuona umuhimu wa Ander Herrera na kumkumbatia Pogba
 
Sasa Mctominay ndo achezw hiyo namba panga pangua ! labda sisi hatujui mpira tunaangalia tu ila kwa mctominay hapana bora fred anauwezo
Mctonomy hapana. Sio box to box middle. Matic alikuwa mssada Sana kwenye kiungo msambazaji.

Pogba wote Hawa wanategemea wachezaji kama Ngorokante kuonesha show off.
 
Eti kuna mtu anaamini VdB anaweza kupata namba kama starter kwenye ligi hii..alooo haya ni masihara..the player who didn't make it kwenye kikosi cha Everton can't make it next season hapa OT.
Mbona alicheza vizuri tu baadhi ya mechi tena kwenye double pivot! Kuanzia kwa Ole mpaka Lampard makocha wote wanatumia mifumo tofauti hivyo majukumu yake pia yalibadilika na alikuwa mostly ha-fit. Kwenye Carabao akiwa Everton alicheza kama LW pia sasa hapo unadhani tatizo lipo kwa nani?

The only way VdB ata-shine ni kwenye 4-3-3 system, kama no. 8/10. Siyo kila mchezaji ata-fit kwenye kila mfumo, kila mfumo unahitaji mchezaji mwenye sifa ya aina yake. Mfano kwenye 4-3-3 tukienda na uhalisisa tunahitaji no. 10 mpya au Bruno abadilishe aina yake ya uchezaji.
 
Eti kuna mtu anaamini VdB anaweza kupata namba kama starter kwenye ligi hii..alooo haya ni masihara..the player who didn't make it kwenye kikosi cha Everton can't make it next season hapa OT.
Everton hakucheza sab ya injuries ila mwanzao aliperfom . Game ya kwanza alikua man of the match .kakichafua sana n City. Karud game la mwsh n arsenal kaafunga goli pekee ile siku
 
Kwa nini makocha watano wameshindwa kuona shida ya DM tunaona wanalazimisha matic acheze box to box middle.

Kwa kweli nilichefukwq Sana na attitude ya solsisher kushindwa kuona umuhimu wa DM wkt akicheza na Keane aliona, alicheza na schole aliona.. nilimdharau Sana. Afadhari Moriinho alimtumia matic Sana. Nilimdharau Zaid alishindwa kuona umuhimu wa Ander Herrera na kumkumbatia Pogba
1. Herrera kataka kuondoka na ali demand mshahara wa 300k kubaki, ambao PSG walimuahidi. Hana thamani ya Huo mshahara.
2. Ole sio anaesajili, hio ni kazi ya Woodward na genge lake, kipindi Chote cha Ole tulikuwa Linked na DM mpaka kaondoka hakusajiliwa, Kuanzia Moises Caicedo, Declan Rice, longstaff na wengineo. Badala yake Akaletewa VDB mchezaji ambaye report nyingi zinasema Kocha na Team yake hawakumtaka.
 
Kuna makosa binafsi na ya kimfumo... maguaya n mbovu binafsi anamakosa mengi...Fred ni mfumo unamfanya aonekane n mbovu na pia han creativity kama kiungo

Sent using Jamii Forums mobile app
Why uangalie Creativity kama Factor kwa mchezaji Design ya Fred? Vipi Ngolo kante ni mbaya sababu hana Creativity? Velverde pale Madrid? Fred si Attacking midfielder wala playmaker, anacheza kwenye Double Pivot Man U na mbele yake kuna wachezaji wanne Design ya Bruno, Sancho, Rashford, Ronaldo, Martial etc.

Timu inafungwa 4 na Brighton, imefungwa na Vitimu kidogo kibao, mechi zote hizo midfield inakuwa overun, tunachezewa mpira kama watoto wadogo, kitu cha kwanza hapo ni kudictate midfield, utadictate kwa kutafuta wachezaji wenye creativity tu (ambao unao tayari) ama utatafuta balance ya Midfield kwa kuongeza quality nyengine ambazo huna?
 
Acha ubishi kaka....tunahitaji new signing km
1. FDJ
2.nkunku
3.Timber
4. DM yyte mzr
5. Greenwood arudi jela imemfunza
6. CB me naona torres ni mwepesi pale EPL bora tutafute mwingne.
7. Captain mpya
8. Tufukuze wachezaji wazee
9. Tuwe wavumilivu kwa ETH na maamzi yake yyte anayofanya hata km akisema hasajili bdo tumsikilize yy
10. Tuombe Mungu sometime bahati na baraka ni muhimu kwenye kufanikisha project yyte
11. Km ikifaa tusajili striker km nunez, victor wa Napoli japo nahic itakuw ngumu dirisha hili
 
So sababu tunataka wachezaji wapya wa zamani waondoke?

Haya Watoe Mc tominay na Fred, na pogba, Matic na Mata wameondoka tunabaki na midfield wangapi? Anabaki Bruno na VDB tu, utasajili wangapi?

In reality tunasajili maximum midfield wawili tu, Huwezi kuanza ligi na 433 ama 4231 na midfield wawili na Attacking wawili.

Tatizo mashabiki mnaishi kwenye Dream land munahisi tunaweza sajili wachezaji 11 tukaanza upya msimu ujao, then Mwezi wa kwanza hapa muje Mumtukane ETH.

Na Hatumuhitaji Nkunku, Jamaa ni Attacking midfield same Position na Bruno, na Sub ya Bruno yupo VDB, kuna magape kibao ya Kuziba kabla ya kuanza kufikiria kumreplace Bruno.
 
Yani wakuu pasipo kutafuta defensive midfielder wa maana tutaludi tena hapa kuja kupiga kelele yani tunaitaji kiungo hataeweza fanya kazi chafu pale united tunaitaji kiungo mfano wa koke kwa ajiri ya kazi chafu tu.

Madrid wanalijua hili ndo maana wanaviungo wakutosha pale nawanaongeza wengine.
Screenshot_20220608-152456.jpg
 
RR alilalamika kuwa board miyeyusho, mpka Luiz Dias pia akaenda liverpool.. naona liverpool tena wameingilia hii deal hapa, Man U wao bado wali contact agent wake tu, hakuna kinachoendelea utaona huyu nae kasepa kwengine sisi tupo tu
20220608_180417.jpg
 
RR alilalamika kuwa board miyeyusho, mpka Luiz Dias pia akaenda liverpool.. naona liverpool tena wameingilia hii deal hapa, Man U wao bado wali contact agent wake tu, hakuna kinachoendelea utaona huyu nae kasepa kwengine sisi tupo tu View attachment 2254529
Mchezaji kashasema anataka kucheza chini ya Klopp + hampo UCL next season, punguza makasiriko utajipa ugonjwa wa moyo bure.
 
So sababu tunataka wachezaji wapya wa zamani waondoke?

Haya Watoe Mc tominay na Fred, na pogba, Matic na Mata wameondoka tunabaki na midfield wangapi? Anabaki Bruno na VDB tu, utasajili wangapi?

In reality tunasajili maximum midfield wawili tu, Huwezi kuanza ligi na 433 ama 4231 na midfield wawili na Attacking wawili.

Tatizo mashabiki mnaishi kwenye Dream land munahisi tunaweza sajili wachezaji 11 tukaanza upya msimu ujao, then Mwezi wa kwanza hapa muje Mumtukane ETH.

Na Hatumuhitaji Nkunku, Jamaa ni Attacking midfield same Position na Bruno, na Sub ya Bruno yupo VDB, kuna magape kibao ya Kuziba kabla ya kuanza kufikiria kumreplace Bruno.
Unajua tuna kulewa sana chief lakn shida ipo kwako kutaka kutuaminisha watu waliopo ni wazuri na wanatosheleza wakati kimsing hawana performance tunayoitegema kupata nafasi nzuri kwenye ligi...sipend kufananisha wachezaj wetu na timu zingine lakn ss Manchester tuna viungo wabovu sana Fred na mac...in fact wamepewa nafasi misimu zaid ya miwili lakn hawaja ongezeka kiwango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RR alilalamika kuwa board miyeyusho, mpka Luiz Dias pia akaenda liverpool.. naona liverpool tena wameingilia hii deal hapa, Man U wao bado wali contact agent wake tu, hakuna kinachoendelea utaona huyu nae kasepa kwengine sisi tupo tu View attachment 2254529
Na inavyoonekana kocha wetu atakuja kuwa kipenzi cha board maana alisema team yetu bado ina wachezaji potential sana akasisitiza wachezaji hao ndio walifanya tukamaliza nafasi ya 2 msimu uliopita

Tofauti na RR aliyesema tunahitaji wachezaji wapya at least 7
Ralf pia aliikosoa board kuhusu kuwakosa Diaz na Alvarez
 
Unajua tuna kulewa sana chief lakn shida ipo kwako kutaka kutuaminisha watu waliopo ni wazuri na wanatosheleza wakati kimsing hawana performance tunayoitegema kupata nafasi nzuri kwenye ligi...sipend kufananisha wachezaj wetu na timu zingine lakn ss Manchester tuna viungo wabovu sana Fred na mac...in fact wamepewa nafasi misimu zaid ya miwili lakn hawaja ongezeka kiwango

Sent using Jamii Forums mobile app
Ten Hag anaamini team yetu bado nzuri sababu tulishika nafasi ya 2 na wachezaji haohao
 
Back
Top Bottom