Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Luis Enrique on being asked about David de Gea's absence from the Spain squad:

"I look to have three starting goalkeepers and I think that right now I have them. A goalkeeper should start the play and generate the first superiority, they must dominate the aerial play."

"I need a goalkeeper that transmits peace and calmness to me - and that doesn’t mean they won’t make mistakes, errors are part of football. But what they generate I like a lot."
 
1654439217215.png
 
Kwani ni mchezaji gani mwingine amecheza vizuri hata mechi tano tu kwenye kikosi chetu ukiachana na babu Ronaldo na De Gea?
Kwa hii kauli ww unaona fred ni mchezaji mzuri wakupewa namba ya kudumu ndani ya kikosi cha Manchester kwnye kutafuta nafas za juu

Fred anamapungufu mengi kwa nafasi anayocheza...kiungo gan uliwahi kuona weakness yake n kupiga pass

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahy Fred ni mchezaj wa kucheza kikos cha kwanza...na unaona kabisa kwenye kutafuta makombe kama EPL tunaweza kufanikiwa tukiwa na Fred kama kiungo tegemezi?? Au naomba uniambie Fred anapata nafas Liverpool au mancity au Chelsea. Maana hawa ndio wapinzan wakubwa kweny kuchallenge EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
Funny timu zote ulizotaja wana midfielder Mbrazili ambaye anakalishwa na Fred.

City pia walikuwa wanamtaka Fred, ni kwamba tu sisi tulitoa mpunga mrefu.
 
Funny timu zote ulizotaja wana midfielder Mbrazili ambaye anakalishwa na Fred.

City pia walikuwa wanamtaka Fred, ni kwamba tu sisi tulitoa mpunga mrefu.
Hii fact ya yy kupata namba timu ya taifa haina mashiko....maana tukienda namna hiyo vp maguaya na yy n beki mzuri sababu anapata namba England?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii fact ya yy kupata namba timu ya taifa haina mashiko....maana tukienda namna hiyo vp maguaya na yy n beki mzuri sababu anapata namba England?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maguire alikuwa hadi kwenye kikosi bora cha world cup iliyopita..Kwa England sijawahi kuona akicheza vibaya sana kama anapocheza akiwa na sisi United.
 
Kwa hii kauli ww unaona fred ni mchezaji mzuri wakupewa namba ya kudumu ndani ya kikosi cha Manchester kwnye kutafuta nafas za juu

Fred anamapungufu mengi kwa nafasi anayocheza...kiungo gan uliwahi kuona weakness yake n kupiga pass

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo uliyoitaja sio weakness kubwa ya Fred..atleast ungesema kupokonywa mipira kirahisi akicheza dimba la chini when he's on pressure.

✓Kaangalie goli bora la Mwaka huu alilofunga Ronaldo

✓Kaangalie goli la tatu lililotupa ushindi vs Wolves.

Ukiyaangalia haya magoli ndo utajua ni kwa namna gani Fred ni master of quick transition pass kule mbele..na bado atakuoffer energy ya kutosha pale katikati ..one of the best.

ETH akijiloga akatengeneza kiungo legelege kwa kuwatumia watu aina ya VdB msimu wetu utamalizika mapema sana...Fred anastahili kucheza juu bigtime.
 
Hii fact ya yy kupata namba timu ya taifa haina mashiko....maana tukienda namna hiyo vp maguaya na yy n beki mzuri sababu anapata namba England?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maguire ni Beki mzuri ndio, Kabla hatujaanza kucheza Highline kwa Misimu miwili si Maguire ndio alikua beki wetu? Wakati tunaweka Record ya Cleansheet beki si yeye? Ama sababu Msimu uliopita kacheza Vibaya basi tayari ni mchezaji mbaya?
 
Hiyo uliyoitaja sio weakness kubwa ya Fred..atleast ungesema kupokonywa mipira kirahisi akicheza dimba la chini when he's on pressure.

✓Kaangalie goli bora la Mwaka huu alilofunga Ronaldo

✓Kaangalie goli la tatu lililotupa ushindi vs Wolves.

Ukiyaangalia haya magoli ndo utajua ni kwa namna gani Fred ni master of quick transition pass kule mbele..na bado atakuoffer energy ya kutosha pale katikati ..one of the best.

ETH akijiloga akatengeneza kiungo legelege kwa kuwatumia watu aina ya VdB msimu wetu utamalizika mapema sana...Fred anastahili kucheza juu bigtime.
Kwenye 4-3-3 ya EtH yenye 2 CDM Fred atacheza namba ngapi?
 
Maguire ni Beki mzuri ndio, Kabla hatujaanza kucheza Highline kwa Misimu miwili si Maguire ndio alikua beki wetu? Wakati tunaweka Record ya Cleansheet beki si yeye? Ama sababu Msimu uliopita kacheza Vibaya basi tayari ni mchezaji mbaya?
Mmh aisee ww ndio Manchester damu...hakuna mwenye shida ndan ya kikosi kizima kwa namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh aisee ww ndio Manchester damu...hakuna mwenye shida ndan ya kikosi kizima kwa namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mkuu Darmian alivyojibu juu mpira wa miguu ni mchezo wa wachezaji 11, unahitaji Balance.

-wakati Ole anachukua Timu tulicheza 433 ila alivyooondoka Herera hatukuweza tena Kucheza huu mchezo, hivyo unaona Mchezaji mmoja tu Kaharibu mfumo mzima

-msimu unaofuatia nao hatukuanza vizuri na mfumo mpya wa 4231, mpaka kufikia january tupo nafasi ya 8, mechi 18 na point 25 tu.

-tukamnunua Bruno January, Missing piece, Ghafla timu nzima ika perform vizuri toka point 25 hadi 66, Nafasi ya 8 mpaka ya 3, wachezaji walioonekana wabovu ghafla nao waka perform vizuri.

-Then akaja Ronaldo balance ya Timu ikaharibika Tena. Mimi naamini kama Tungekuwa na DM/midfield za maana kina Maguire wasingekua exposed na Ronaldo asingehitajika Kukaba sana na Balance ya Timu ingepatikana.

Kwa ushahidi zaidi angalia Maguire asipokuepo si tunashindiliwa magoli ya Kutosha? Varana naye si anatoa maboko mengi tu kama Maguire? Lindelof je?

Kuna screenshot moja ilitumwa humu wakati wa mechi ya Chelsea, yaani kuna Gape karibia mita 20 ama 30 baina ya Midfield yetu na Mabeki, na Wachezaji wa Chelsea kibao. Hata Tungekuwa na Dias na Van Djik bado tungefungwa za kutosha tu.
 
Back
Top Bottom