Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,356
Sasa Chief-Mkwawa hebu nipe option ya upande wa striker tukimkosa Nunez kwa bei rahisi unayosemea? Yupi / wapi tunapata?Pia Fee yake kubwa sana, kwa Budget yetu akija Huyo na FDJ imeisha.
Sasa Chief-Mkwawa hebu nipe option ya upande wa striker tukimkosa Nunez kwa bei rahisi unayosemea? Yupi / wapi tunapata?Pia Fee yake kubwa sana, kwa Budget yetu akija Huyo na FDJ imeisha.
Sawa, tupo hapa.. ngoja tumuone bwana ETH na hiki kikosi anachosema kipo vizuriNa inavyoonekana kocha wetu atakuja kuwa kipenzi cha board maana alisema team yetu bado ina wachezaji potential sana akasisitiza wachezaji hao ndio walifanya tukamaliza nafasi ya 2 msimu uliopita
Tofauti na RR aliyesema tunahitaji wachezaji wapya at least 7
Ralf pia aliikosoa board kuhusu kuwakosa Diaz na Alvarez

Mkuu sisi hatuhitaji striker anayekuja kuanza, vyovyote vile Ronaldo ndio atalead timu msimu ujao, striker anayetakiwa ni Either mtoto msimu ujao akue na sisi ama sub ya Ronaldo incase anaumia.Sasa Chief-Mkwawa hebu nipe option ya upande wa striker tukimkosa Nunez kwa bei rahisi unayosemea? Yupi / wapi tunapata?
Kwa sasa Man Utd inabidi ifanye sajili zake za msingi kipindi cha dirisha dogo ambapo ushindani ni mdogo.RR alilalamika kuwa board miyeyusho, mpka Luiz Dias pia akaenda liverpool.. naona liverpool tena wameingilia hii deal hapa, Man U wao bado wali contact agent wake tu, hakuna kinachoendelea utaona huyu nae kasepa kwengine sisi tupo tuView attachment 2254529
Mkuu Issue ya Alvarez ilikuwa nje ya Uwezo wetu, Man City wanamtangaza Leo Alvarez haikuchukua Siku nyingi yule Pimbi Greenwood anafanya yake.Na inavyoonekana kocha wetu atakuja kuwa kipenzi cha board maana alisema team yetu bado ina wachezaji potential sana akasisitiza wachezaji hao ndio walifanya tukamaliza nafasi ya 2 msimu uliopita
Tofauti na RR aliyesema tunahitaji wachezaji wapya at least 7
Ralf pia aliikosoa board kuhusu kuwakosa Diaz na Alvarez
Jamaa nakuelewa sana. Shida ya mashabiki wa united wanataka ETH alete wachezaji wapya karibia kikosi kizima kama walivyo aminishwa na RR. Yani wachezaji karibia 7 wasajiliwe Kwa pamojaMkuu sisi hatuhitaji striker anayekuja kuanza, vyovyote vile Ronaldo ndio atalead timu msimu ujao, striker anayetakiwa ni Either mtoto msimu ujao akue na sisi ama sub ya Ronaldo incase anaumia.
Nunez ni mchezaji mzuri ila kwa 85M ni risk kubwa, liverpool wapo Vizuri kila idara wanaweza kurisk hata akizingua si watamuuza tu.
Sijui kama Belloti anafit Mfumo wa ETH ila jamaa anapatikana Bure, kuwa Rotational si mbaya.
Vyombo tu vya Habari vinakuza mambo na Ma Agent wanaitumia Man U kuongeza thamani ya wachezaji wao. just miaka ya Karibuni Sanchez, Fred, Maguire na Ronaldo wote walikuwa wanaenda City na Tumewapokonya.Kwa sasa Man Utd inabidi ifanye sajili zake za msingi kipindi cha dirisha dogo ambapo ushindani ni mdogo.
Tukifika dirisha kubwa wachezaji wanatukataa,sijui tumepotezaje mvuto ghafla hivi!
Kabisaa na ndo plan nzima ndo maana ETH alisema anahitaji wachezaji wasio zidi watano kuziba mapungufu yaliyopo huku rebuild ikizidi kuendelea mdogomdogoMkuu Issue ya Alvarez ilikuwa nje ya Uwezo wetu, Man City wanamtangaza Leo Alvarez haikuchukua Siku nyingi yule Pimbi Greenwood anafanya yake.
Kwa Greenwood tulikuwa Tayari tuna future Top striker tunamkuza Taratibu, ndio maana Hatukuwa na Umuhimu wa kutafuta Striker wakati una Ronaldo, Cavani na Greenwood.
Pia mimi naungana na ETH, kikosi chetu si kibaya kama watu wanavyotaka kutuaminisha, yazibwe tu Mapengo, priority iwe midfielder, Board ikinunua Midfielder 2 za kazi, beki wa pembeni, na Backup striker Tunaanza vizuri tu Msimu wetu, then kuanzia hapo ndio tutajua mbivu na mbichi, ambaye hatajituma na kumsikiliza mwalimu safari yake ndio itaishia hapo.
RR Austria Iko ina mshinda huko,Sijui kule atamlalamikia nani,theory kibao, practical zeroRR alilalamika kuwa board miyeyusho, mpka Luiz Dias pia akaenda liverpool.. naona liverpool tena wameingilia hii deal hapa, Man U wao bado wali contact agent wake tu, hakuna kinachoendelea utaona huyu nae kasepa kwengine sisi tupo tuView attachment 2254529
Hii timu kocha mpya akija anaona inahitaji marekebisho machache hata RR alisema hivyo lakini baada ya kufundisha ndio akajua kuwa kazi iliyopo ni ngumu sana na the way wachezaji walivyokuwa wancheza msimu uliopita kocha alikuwa sahihi kusema timu inahitaji kununua wachezaji wengi na kibaya zaidi ni kuwa tayari our main competitors(Liverpool & City) wako kwenye peak.Vikosi vyao vimeshakamilika na still wanaendelea kuboreshaJamaa nakuelewa sana. Shida ya mashabiki wa united wanataka ETH alete wachezaji wapya karibia kikosi kizima kama walivyo aminishwa na RR. Yani wachezaji karibia 7 wasajiliwe Kwa pamoja
Kama Klopp alivyo kuwa ana timua mmoja mmoja Kwa muda wake kina Mignolet,Cyle,Moreno,Lucas,Lallana,Sturrige,Kolo toure,Baloteli,skritel,Coutinho na wengine WengiMkuu Issue ya Alvarez ilikuwa nje ya Uwezo wetu, Man City wanamtangaza Leo Alvarez haikuchukua Siku nyingi yule Pimbi Greenwood anafanya yake.
Kwa Greenwood tulikuwa Tayari tuna future Top striker tunamkuza Taratibu, ndio maana Hatukuwa na Umuhimu wa kutafuta Striker wakati una Ronaldo, Cavani na Greenwood.
Pia mimi naungana na ETH, kikosi chetu si kibaya kama watu wanavyotaka kutuaminisha, yazibwe tu Mapengo, priority iwe midfielder, Board ikinunua Midfielder 2 za kazi, beki wa pembeni, na Backup striker Tunaanza vizuri tu Msimu wetu, then kuanzia hapo ndio tutajua mbivu na mbichi, ambaye hatajituma na kumsikiliza mwalimu safari yake ndio itaishia hapo.
ronaldo asipocheza rashford anaanza mbele dahMkuu sisi hatuhitaji striker anayekuja kuanza, vyovyote vile Ronaldo ndio atalead timu msimu ujao, striker anayetakiwa ni Either mtoto msimu ujao akue na sisi ama sub ya Ronaldo incase anaumia.
Nunez ni mchezaji mzuri ila kwa 85M ni risk kubwa, liverpool wapo Vizuri kila idara wanaweza kurisk hata akizingua si watamuuza tu.
Sijui kama Belloti anafit Mfumo wa ETH ila jamaa anapatikana Bure, kuwa Rotational si mbaya.
Chief NUNEZ ni zaidi ya hatari kufeli pale hilo sahauMkuu sisi hatuhitaji striker anayekuja kuanza, vyovyote vile Ronaldo ndio atalead timu msimu ujao, striker anayetakiwa ni Either mtoto msimu ujao akue na sisi ama sub ya Ronaldo incase anaumia.
Nunez ni mchezaji mzuri ila kwa 85M ni risk kubwa, liverpool wapo Vizuri kila idara wanaweza kurisk hata akizingua si watamuuza tu.
Sijui kama Belloti anafit Mfumo wa ETH ila jamaa anapatikana Bure, kuwa Rotational si mbaya.
Kwan Manchester hawakuwahi kutoa pesa ndefu kwa wachezaji lakn hakuna mafanikio? Mpira una mambo mengTukubali tukatae mpira sasa hivi ni biashara, utawaona Madrid wajinga kutoa £100 kwa dogo wa miaka 22, au Liver kutanguliza hiyo £80 kwa Nunez, basi tusiwashangae wakinyanyua kwapa mwisho wa msimu au mashindano makubwa Uefa n.k anyway ngoja tuone maana kocha ashasema kikosi ni kizuri
Wachezaji watanunuliwa,lakini siyo Kwa wakati mmoja wanunuliwe 11 kama RR alivyo dai.Hii timu kocha mpya akija anaona inahitaji marekebisho machache hata RR alisema hivyo lakini baada ya kufundisha ndio akajua kuwa kazi iliyopo ni ngumu sana na the way wachezaji walivyokuwa wancheza msimu uliopita kocha alikuwa sahihi kusema timu inahitaji kununua wachezaji wengi na kibaya zaidi ni kuwa tayari our main competitors(Liverpool & City) wako kwenye peak.Vikosi vyao vimeshakamilika na still wanaendelea kuboresha
Hii timu kocha mpya akija anaona inahitaji marekebisho machache hata RR alisema hivyo lakini baada ya kufundisha ndio akajua kuwa kazi iliyopo ni ngumu sana na the way wachezaji walivyokuwa wancheza msimu uliopita kocha alikuwa sahihi kusema timu inahitaji kununua wachezaji wengi na kibaya zaidi ni kuwa tayari our main competitors(Liverpool & City) wako kwenye peak.Vikosi vyao vimeshakamilika na still wanaendelea kuboresha
Usajiri ni gambling Mkuu! Kina Hazard wako wapi? Grelish? Pepe?Tukubali tukatae mpira sasa hivi ni biashara, utawaona Madrid wajinga kutoa £100 kwa dogo wa miaka 22, au Liver kutanguliza hiyo £80 kwa Nunez, basi tusiwashangae wakinyanyua kwapa mwisho wa msimu au mashindano makubwa Uefa n.k anyway ngoja tuone maana kocha ashasema kikosi ni kizuri
Ni leboHii ni timu au uchafu?
Msimu uliopita Bruno ndio alicheza up front.ronaldo asipocheza rashford anaanza mbele dah