Huyu anaweza kuja Man Utd kweli??Darwin who?View attachment 2255717
Mkuu ina maana mahasimu wetu wameshambeba nunez?Tumeshamkosa NUNEZ, hivi pale mbele akae Nunez na Diaz kuna mtu kupona kweli??😄
Siyo kujivuta, tofauti ya Liverpool na United kwenye hili dili ni kwamba Liverpool tayari wame-submit bid kwa Benfica ila United wanaongea na agent kwanza.Sie kwenye sajili tunajivuta sana yaan matatizo ya Man U huwa yanajirudia cjui kwanini?
90%Huyu anaweza kuja Man Utd kweli??
Huyo dogo huwa ni playmaker mzuri sana huko Ajax, huo mto wake usipozima EPL basi atakuwa ni tishio.
Nimekupata mkuu 👍Siyo kujivuta, tofauti ya Liverpool na United kwenye hili dili ni kwamba Liverpool tayari wame-submit bid kwa Benfica ila United wanaongea na agent kwanza.
It means kama Nunez atakubali mkataba wa United kitakachobaki niku-submit official bid tu. Na tayari Benfica washataja pesa wanayotaka so issue ni kwa mchezaji tu akikataa yeye huwezi ku-force.
sasa huyu striker ?Darwin who?View attachment 2255717
Uyu dogo ni hatari sana kwenye winga ya kulia aise anatumia sana mguu wa kushoto.Darwin who?View attachment 2255717
Huu Utakuwa Usajili Mzuri, Yeye Wing Ya Kulia Sancho Wing Ya KushotoDarwin who?View attachment 2255717

Nimekupata VyemaSiyo kujivuta, tofauti ya Liverpool na United kwenye hili dili ni kwamba Liverpool tayari wame-submit bid kwa Benfica ila United wanaongea na agent kwanza.
It means kama Nunez atakubali mkataba wa United kitakachobaki niku-submit official bid tu. Na tayari Benfica washataja pesa wanayotaka so issue ni kwa mchezaji tu akikataa yeye huwezi ku-force.
laurie whitwell anasema hiyo taarifa ya jorge mendez kukutana na erik ten hag kwa dhumuni la kujadili usajili wa darwin nunez ni bogus, kwa maana ni fekiNimekupata VyemaView attachment 2256027
anaweza kuendeleza moto wake wa kufunga magoli kwa msimu mwengine au pia ikawa kinyume chake. tufahamu darwin nunez ni msimu huu tu amekuwa bora. pia unadeal na benfica. wazee wa kuuza wachezaji wanaotrend kwa bei kubwa kama walivyofanya kwa joao felix.Tumeshamkosa NUNEZ, hivi pale mbele akae Nunez na Diaz kuna mtu kupona kweli??😄
hiyo taarifa ya anthony imeandikwa na waandishi wa habari wa brazil pekee, inaweza kuwa ni sahihi au ni uzushi wa mawakala kuitumia brand ya manchester united kwa lengo la kutengeneza mazingira ya kupata mikataba mikubwa kwa wateja waoHuu Utakuwa Usajili Mzuri, Yeye Wing Ya Kulia Sancho Wing Ya Kushoto![]()
anaweza kuendeleza moto wake wa kufunga magoli kwa msimu mwengine au pia ikawa kinyume chake. tufahamu darwin nunez ni msimu huu tu amekuwa bora. pia unadeal na benfica. wazee wa kuuza wachezaji wanaotrend kwa bei kubwa kama walivyofanya kwa joao felix.
mbahili hawezi kulipa pound million 60 au zaidi kwa ajili ya goalkeeper, liverpool wanajiandaa na maisha ya baadae kutokana na sintofahamu ya mkataba wa salah unaomalizika msimu ujao pamoja na sadio mane. bila ya shaka ameona ugumu wa kupata winga mwengine aina ya salah mwenye uwezo wa kuhusika na magoli 30 au zaidi ndio ameamua kurudisha mfumo wa kutumia striker. kama liverpool wangelikuwa na nafasi ya kumsajili kylian mbappe kuziba nafasi ya salah wasingelisita kufanya hivyo.Klop alivyo mbahili vile, akitoa tu £40m huyo mchezaji anakua hatari, ukiona kakubal kutoa zaid kwa Nunez usitegemee kuflop
Vipi keita? Na Klop alimkataa Salah alimtaka Brandt, scouting yao ipo vizuri ila sio perfect.Klop alivyo mbahili vile, akitoa tu £40m huyo mchezaji anakua hatari, ukiona kakubal kutoa zaid kwa Nunez usitegemee kuflop
Huwa Mkuu nafurahi sana Tier 1 kama hawa wakiclarify mambo.laurie whitwell anasema hiyo taarifa ya jorge mendez kukutana na erik ten hag kwa dhumuni la kujadili usajili wa darwin nunez ni bogus, kwa maana ni feki