Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii fact ya yy kupata namba timu ya taifa haina mashiko....maana tukienda namna hiyo vp maguaya na yy n beki mzuri sababu anapata namba England?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maguire ni Beki mzuri ndio, Kabla hatujaanza kucheza Highline kwa Misimu miwili si Maguire ndio alikua beki wetu? Wakati tunaweka Record ya Cleansheet beki si yeye? Ama sababu Msimu uliopita kacheza Vibaya basi tayari ni mchezaji mbaya?
 
Hiyo uliyoitaja sio weakness kubwa ya Fred..atleast ungesema kupokonywa mipira kirahisi akicheza dimba la chini when he's on pressure.

✓Kaangalie goli bora la Mwaka huu alilofunga Ronaldo

✓Kaangalie goli la tatu lililotupa ushindi vs Wolves.

Ukiyaangalia haya magoli ndo utajua ni kwa namna gani Fred ni master of quick transition pass kule mbele..na bado atakuoffer energy ya kutosha pale katikati ..one of the best.

ETH akijiloga akatengeneza kiungo legelege kwa kuwatumia watu aina ya VdB msimu wetu utamalizika mapema sana...Fred anastahili kucheza juu bigtime.
Kwenye 4-3-3 ya EtH yenye 2 CDM Fred atacheza namba ngapi?
 
Maguire ni Beki mzuri ndio, Kabla hatujaanza kucheza Highline kwa Misimu miwili si Maguire ndio alikua beki wetu? Wakati tunaweka Record ya Cleansheet beki si yeye? Ama sababu Msimu uliopita kacheza Vibaya basi tayari ni mchezaji mbaya?
Mmh aisee ww ndio Manchester damu...hakuna mwenye shida ndan ya kikosi kizima kwa namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh aisee ww ndio Manchester damu...hakuna mwenye shida ndan ya kikosi kizima kwa namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mkuu Darmian alivyojibu juu mpira wa miguu ni mchezo wa wachezaji 11, unahitaji Balance.

-wakati Ole anachukua Timu tulicheza 433 ila alivyooondoka Herera hatukuweza tena Kucheza huu mchezo, hivyo unaona Mchezaji mmoja tu Kaharibu mfumo mzima

-msimu unaofuatia nao hatukuanza vizuri na mfumo mpya wa 4231, mpaka kufikia january tupo nafasi ya 8, mechi 18 na point 25 tu.

-tukamnunua Bruno January, Missing piece, Ghafla timu nzima ika perform vizuri toka point 25 hadi 66, Nafasi ya 8 mpaka ya 3, wachezaji walioonekana wabovu ghafla nao waka perform vizuri.

-Then akaja Ronaldo balance ya Timu ikaharibika Tena. Mimi naamini kama Tungekuwa na DM/midfield za maana kina Maguire wasingekua exposed na Ronaldo asingehitajika Kukaba sana na Balance ya Timu ingepatikana.

Kwa ushahidi zaidi angalia Maguire asipokuepo si tunashindiliwa magoli ya Kutosha? Varana naye si anatoa maboko mengi tu kama Maguire? Lindelof je?

Kuna screenshot moja ilitumwa humu wakati wa mechi ya Chelsea, yaani kuna Gape karibia mita 20 ama 30 baina ya Midfield yetu na Mabeki, na Wachezaji wa Chelsea kibao. Hata Tungekuwa na Dias na Van Djik bado tungefungwa za kutosha tu.
 
Kwahy tatizo letu msimu huu hadi umeisha lipo wap? Na ungeambiwa usajili ufanyike ungependekeza nafasi gan?

Maguaya anastahili kupata namba na kuwa captain wa Manchester? Ubora wake upo wap? tokea amekuja Manchester...poor kabisa hajui kufanya marking hanaspeed...hata ww kuna muda unajiuliza huyu jamaa anapataje namba frist eleven

Manchester wanatosheka na kiwango cha Fred yaan interms of creativity na katika uzuiaji? Fred n kiungo wa aina gan? Au unaweza mlinganisha na mchezaji gan labda naweza nikaelewa kwa mfananisho....ni attacking mid au defensive mid au ni register mid?

Mwenye haya majibu aniambie maana mm kama Manchester supporter sielew pamoja nakuangalia game zote za Man u

Au Manchester ndio inamuangusha captain maguaya haina mfumo unao endana nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahy tatizo letu msimu huu hadi umeisha lipo wap? Na ungeambiwa usajili ufanyike ungependekeza nafasi gan?
Tatizo ni kucheza mfumo usiofit wachezaji, msimu huu tumecheza Highline makocha wote, na Tumepress na wachezaji hawafit, Una Ronaldo, mwanzo wa msimu Greenwood, Kina dalot, Telles, Bruno l, Rashford, Maguire na wengineo hawakuwa comitted ama kufit mfumo.
Maguaya anastahili kupata namba na kuwa captain wa Manchester? Ubora wake upo wap? tokea amekuja Manchester...poor kabisa hajui kufanya marking hanaspeed...hata ww kuna muda unajiuliza huyu jamaa anapataje namba frist eleven
Ubora wake anaujua Mou aliomtaka Mpaka kuzinguana na Bodi, Kisha Guardiola, kisha Sisi tukaja Kumsajili, kama wewe Unapingana na Mou na Pep kuhusu Ubora wa Maguire sawa. Na mashabiki wengi munasumbuliwa na Recency Bias.
Manchester wanatosheka na kiwango cha Fred yaan interms of creativity na katika uzuiaji? Fred n kiungo wa aina gan? Au unaweza mlinganisha na mchezaji gan labda naweza nikaelewa kwa mfananisho....ni attacking mid au defensive mid au ni register mid?
Fred ni Box to Box tena anacheza Taifa kubwa kabisa Duniani Brazil, box to Box si lazima awe mzuiaji ama Mtengenezaji, ndio maana brazil ni Casemiro mzuiaji na wapo watengenezaji kina Neymar, quality za Fred anapokonya Sana mipira, anakaba sana na anakimbia vya kutosha, ni mzuri kuharibu mipango ya wapinzani na pia si mbaya akiwa mbele anazo skills za Kibrazil.
Mwenye haya majibu aniambie maana mm kama Manchester supporter sielew pamoja nakuangalia game zote za Man u

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa bendera fuata upepo hutaelewa, ila ukimuamini Kocha wako, ukaelewa anataka nini, hutapata Tabu utakua una enjoy progress, hata Kama Mechi hatujashinda ama hata kama Hatujabeba Kombe.
 
Tatizo ni kucheza mfumo usiofit wachezaji, msimu huu tumecheza Highline makocha wote, na Tumepress na wachezaji hawafit, Una Ronaldo, mwanzo wa msimu Greenwood, Kina dalot, Telles, Bruno l, Rashford, Maguire na wengineo hawakuwa comitted ama kufit mfumo.

Ubora wake anaujua Mou aliomtaka Mpaka kuzinguana na Bodi, Kisha Guardiola, kisha Sisi tukaja Kumsajili, kama wewe Unapingana na Mou na Pep kuhusu Ubora wa Maguire sawa. Na mashabiki wengi munasumbuliwa na Recency Bias.

Fred ni Box to Box tena anacheza Taifa kubwa kabisa Duniani Brazil, box to Box si lazima awe mzuiaji ama Mtengenezaji, ndio maana brazil ni Casemiro mzuiaji na wapo watengenezaji kina Neymar, quality za Fred anapokonya Sana mipira, anakaba sana na anakimbia vya kutosha, ni mzuri kuharibu mipango ya wapinzani na pia si mbaya akiwa mbele anazo skills za Kibrazil.

Ukiwa bendera fuata upepo hutaelewa, ila ukimuamini Kocha wako, ukaelewa anataka nini, hutapata Tabu utakua una enjoy progress, hata Kama Mechi hatujashinda ama hata kama Hatujabeba Kombe.
kwahiyo Mctominay anatosha haina haja ya kiungo kusajiliwa kwa ajili dm ?
 
Mmh aisee iko namna ww unaangalia mpira tafaut na ss

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kama kwl umeshawah kucheza mpira utakuwa unajua umuhimu wa kiungo mkabaji katka timu...
Tukipata DM timu yetu itakua na balance ata makosa kwm6 defence yetu yatapungua
 
Brazil anapata namba kuendana na mahitaji yao na timu za taifa wanakuwa na wachezaji mbadala kwendana na mahitaji yao...kwahy ww unamuona Fred kwenye fainal ya champions League akiypiga mwingi kama modric au kroos...au kama fabinyo na tiago wa Liverpool....tuache mapenzi ya ajabu kwnye mpira tukubali madhaifu ya mchezaj hata kama n wa Manchester
Na kuna mtu atakuja kusema maguaya n bora kwa sababu anapata namba na ni captain wa England

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe wa huko mchafukoge unajua kuliko kocha na benchi zima la ufundi?

Fred alikuwa kwenye timu mbovu ndo maana unamuona mbovu. Ila bado anaitwa timu ya taifa na anacheza na mchango wake umeonekana.

You should not force others to believe what you believe.
 
Jamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kama kwl umeshawah kucheza mpira utakuwa unajua umuhimu wa kiungo mkabaji katka timu...
Tukipata DM timu yetu itakua na balance ata makosa kwm6 defence yetu yatapungua
Kuna makosa binafsi na ya kimfumo... maguaya n mbovu binafsi anamakosa mengi...Fred ni mfumo unamfanya aonekane n mbovu na pia han creativity kama kiungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe wa huko mchafukoge unajua kuliko kocha na benchi zima la ufundi?

Fred alikuwa kwenye timu mbovu ndo maana unamuona mbovu. Ila bado anaitwa timu ya taifa na anacheza na mchango wake umeonekana.

You should not force others to believe what you believe.
Ongea mpira sio matusi yasio na msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe wa huko mchafukoge unajua kuliko kocha na benchi zima la ufundi?

Fred alikuwa kwenye timu mbovu ndo maana unamuona mbovu. Ila bado anaitwa timu ya taifa na anacheza na mchango wake umeonekana.

You should not force others to believe what you believe.
Sasa ss kama Manchester tunataka tumuone akifanya vizur ndani ya Manchester sio Brazil...maana tafaut na hapo kwetu hana faida...ni kama useme lukaku anacheza Belgium hivyo mashabik wa Chelsea wajivunie mafanikio yake wakati hana makali kikos cha Chelsea...

Ukibisha njoo na fact sio matusi na ngonjera sijui Brazil imefanya nn...nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom