Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,878
- 32,800
Chelsea wana kikosi kizuri sana na wanatoa wachezaji wengi sana kwenye timu za taifa.mgogoro wa mourinho dhidi ya paul pogba ndio ulimfaidisha scott mctominay, jose alimpandisha kutoka academy. uwezo wa mctominay ni wa kuchezea vilabu kama burnley na si kuwa regular starter wa manchester united. Tumerudi nyuma sana.
Ilihali Manchester hata kwenye Olympics tu kwenye timu ya taifa walikuwa na mchezaji mmoja tu ambaye hakucheza hata mechi moja.