Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sportblind,Kuhusu Laimer

Na Santi aouna, RR anamtaka Mukiele Ingali ETH hajaonesha uhitaji wa huyo mtu.
Achana na source za kipuuuzi.

Tafuta tier 1 reporters wa transfer window usome taarifa zao.

Hakuna sehemu Rangnick ameweka wazi aina ya wachezaji anaowataka.

Yeye alisema aliandaa list ya wachezaji anaowa-recommend na ameshampa ETH ila maamuzi ya mwisho yatakuwa kwa ETH. Na atasaidia kufanya mawasiliano na wachezaji watakaotakiwa kununuliwa.

Hakuna sehemu amesema anamtaka mchezaji gani. Just speculation.

Again, achana na vijarida uchwara.
 
Haha
Screenshot_20220513-141819_Firefox.jpg
 
Natamani Man U ingekosa nafasi ya ushiriki Europa ili ijikite na mapambano ya EPL na mashindano mengine ya ndani. Japo ni biashara hayo mashindano ya Europa league yana ufedheha Fulani kwa timu kama Man U. Tena hasa tukienda straight
 
issue Sio united kucheza Europa kwani ishacheza Sana , issue ni Ronaldo kucheza Europa
 
Natamani Man U ingekosa nafasi ya ushiriki Europa ili ijikite na mapambano ya EPL na mashindano mengine ya ndani. Japo ni biashara hayo mashindano ya Europa league yana ufedheha Fulani kwa timu kama Man U. Tena hasa tukienda straight
Kushiriki Europa ni muhimu sana haijalishi udogo wa mashindano. Kwa rebuild itakayofanyika timu itahitaji mechi nyingi zaidi. Hata kama ukiwa shabiki inabidi ukubaliane tu na ukweli kwamba United ipo levels za Europa League usiangalie jina la Manchester United limebeba historia kubwa kiasi gani angalia tu hali iliyopo sasa, tunastahili kucheza Europa.
 
Story ya Keane na Baba yake Erling Haaland ndio iliyomfanya Haaland aichukie Man United
Kijana kaamua kukubali usajili kwa waasimu wenu Man City ili aje kulipiza kisasi kwa unyama Keane aliomfanyia baba yake miaka ya 90 mwishoni, nadhani 1999
 
Back
Top Bottom