Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya msimu ujao mkishaanza kumtukana huyo Miyagi, mwende mkamchukue mwengine tena
20220512_203900.png
 
Nahisi huyu lazima atatofautina tu na RR maana RR atataka mchezaji flani asajiriwe na ETH anataka mwingine[emoji1787].Mvurugano tayari hapo.

Mmoja anamtaka De jong mwingine anamtaka Laimer
Wapi Rangnick amesema anamtaka Laimer?
 
Ameandika james ducker na waandishi wengine: john murtough, erik ten hag, mitchell van de na steven mcClaren wamefanya kikao mjini amsterdam. Taarifa zinasema ten hag amependekeza usajili wa midfield wawili, beki wa kati na mshambuliaji. Eneo la kiungo main target ni frankie de jong. James ducker ni chanzo cha uhakika kwa habari za manchester united.
Ten Haag ameridhika na full backs wetu??
 
Sijajua kwanini United inapoteza pesa kumsajili De Jong
Tunaenda kufanya makosa kwa kweli..

Tunahitaji kiungo anayeweza kucheza kwa nguvu pale katikati..huyu de jong pasi zake za rula hazitatusaidia kwenye hii ligi ya Uingereza when DM position is concerned.
 
Yupo Scott msijari. De jong anaingia badala ya Pogba.
 
Back
Top Bottom