Huu usajili Pep Guardiola hakuhusishwa moja kwa moja alikuwa mshauri zaidi nafikiri umelenga mkakati wa muda mrefu wa City.ile taarifa nilifanikiwa kuisoma asubuhi kutoka kwa mtaalamu david ornstein, nafikiri yeye ndiye muandishi wa mwanzoni kuripoti taarifa hiyo. Kwa nini awe erling haaland na si harry kane?. Any tips.
Pep mkataba wake unaisha mwakani. Habari za chini chini zinasema Ferran Sorriano na Txiki wameanza mazungumzo ya awali na Luis Enrique.