Kwa mfano tujiulize kwa nini jina la tchouameni halitajwi mara kwa mara kwenye maandishi ya hawa waandishi mashuhuri wa kuripoti habari za manchester united kama vile james ducker, howson, stone, whitwell na wengineo. Kwa nini jina lake lihusishwe zaidi na liverpool pamoja na real madrid. Mbona declan rice anatajwa sana, ruben neves anatajwa kwa sababu ya uzoefu wake wa premier league na si target lengwa hivyo upo uwezekano wa kuwa backup ya declan rice au kelvin phillips. si ajabu watu wa ndani kabisa ya manchester united wakawa hawamtambui tchouameni. Scouting yetu ni bora sana lakini decisions zinanachelewa kufanywa na kwa usahihi.