Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu yoyote kabla ya kuanza ligi au kuanza game lazima tambo ziwepo, wakati wa usajili tambo lazima ziwepo, United hata kama tunajua kua mechi ya leo tunaenda kufungwa lakini kabla mechi kuanza lazima tulete tambo kibao muulize allypipi analijua hilo yaani ile manchester leo ipo uwanjani na dunia nzima inafuraha.
Ila baada ya mechi kuisha hua ndio muda wetu wa kuondoa stress kwa kukosoa, kukebehi, hata kutukana inapobidi na ndio maana timu yetu ndio timu inayojulikana kua ni timu ya furaha dunia nzima
Tukifunga ni furaha, tukifungwa pia furaha inatawala, Maguire akitoa boko tukachezea pia tunachukulia kama kibwagizo cha furaha yetu.
Ila nyie mbuzi mkifungwa sasa bado mnang'ang'ania kutetea upumbavu, na akitokea mmoja wenu kuelezea hata hisia zake mnamjia juu kwelikweli.
Mpira ni burudani ndugu zangu, nyie kila kitu mnachukulia serious ndio maana hua mnajinyonga mbuzi nyie.
Kuweni japo kama OllaChuga Oc ili muendelee kufaidi mema ya nchi.
Nimeandika kadri ninavyoweza.

Bahati mbaya haujanielewa.
 
Nani aliekwambia sisi tuna mahaba mengi mpaka tunashindwa kutumia akili?
Mashabiki wote wa United tunajijua kua msimu huu sisi ni wazee wa 4G, ni nyinyi tu na uzembe wenu siku ile ndio mlishindwa kujipigia goli 4.

Tofauti ya mashabiki wa United na AsaniAli ni moja?

Sisi timu letu likiboronga hakuna shabiki atakae tetea, tutaikosoa, tutaidhihaki na hata ikibidi kuwatukuna wachezaji na kocha tutawatukana na tunapata relief.

Nyinyi timu lenu hata likizingua vipi ndio kwanza mnazidi kulisifia na mnaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe endapo ikitokea mmoja wenu akiamua kukosoa upumbavu unaoendelea kwenye timu, ndio maana mashabiki wa AsaniAli wanaongoza kwa stress, hata takwimu zinaonyesha mashabiki wa AsaniAli ndio wanaongoza kwa kujiua.
 
Timu yoyote kabla ya kuanza ligi au kuanza game lazima tambo ziwepo, wakati wa usajili tambo lazima ziwepo, United hata kama tunajua kua mechi ya leo tunaenda kufungwa lakini kabla mechi kuanza lazima tulete tambo kibao muulize allypipi analijua hilo yaani ile
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Ila baada ya mechi kuisha hua ndio muda wetu wa kuondoa stress kwa kukosoa, kukebehi, hata kutukana inapobidi na ndio maana timu yetu ndio timu inayojulikana kua ni timu ya furaha dunia nzima
Tukifunga ni furaha, tukifungwa pia furaha inatawala, Maguire akitoa boko tukachezea pia tunachukulia kama kibwagizo cha furaha yetu.
Ila nyie mbuzi mkifungwa sasa bado mnang'ang'ania kutetea upumbavu, na akitokea mmoja wenu kuelezea hata hisia zake mnamjia juu kwelikweli.
Mpira ni burudani ndugu zangu, nyie kila kitu mnachukulia serious ndio maana hua mnajinyonga mbuzi nyie.
Kuweni japo kama OllaChuga Oc ili muendelee kufaidi mema ya nchi.
YouTube › watch
Shabiki wa Man U Ajiua kwa Kujirusha Kutoka Orofani - YouTube
 
Binafsi naona man u ikikosa michuano ya Europa/Conference atakua position nzuri sana ya kurudi kuliko kulazimisha kuwepo

Kwa mchezaji mmoja mmoja ni kwel man u amewaacha arsenal, spurs, Chelsea mbali kidogo
Swali linakuja tatizo ni nini sasa?

Unaweza ukasema tatizo ni makocha wanaofika pale ikiwa tu hautakua na mtazamo mkubwa
Tatizo kuu la man u ni wachezaji
Wachezaji wamekua na sauti kuliko kocha
Wachezaji wanaamua kugoma bila sababu za msingi ili kocha atimuliwe.
Rashford, pogba, Bruno, degea, ........ Elanga
Hao wote wameshakua virus

Nini kifanyike,
Wanaomaliza mikataba wasiongezwe makataba, wanaobaki piga bei ata ya hasara sio mbaya
Kwa mfano lingard ukampush kwa 20 au 15 utakua umekosa nini!!! Bisaka peleka pori lolote kwa mkopo. Hii yote n kuondoa vizur
Ili vijana wataokuja wasiambukizwe ujinga wa kina rashfod, magwaya, Fred, cr7,....

Timu isukwe upya for long term plan
Kuwe na wage structure nzuri
Strictly laws and policies
Lengend wapunguze mdomo, waache watu wafanye kazi.

Mkiona mnaingia kwa msmu mpya wa ligi hamjauza/fukuza/kuacha wachezaji zaidi ya 8. Mjue kabisa hakuna jipya
Brighton watapiga tena 4, Liverpool, man city wataokota points 6
Arsenal atawapiga cap nje ndani

Niwatakie majonzi mema, sitaacha kupita hapa
 
Timu yoyote kabla ya kuanza ligi au kuanza game lazima tambo ziwepo, wakati wa usajili tambo lazima ziwepo, United hata kama tunajua kua mechi ya leo tunaenda kufungwa lakini kabla mechi kuanza lazima tulete tambo kibao muulize allypipi analijua hilo yaani ile
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Ila baada ya mechi kuisha hua ndio muda wetu wa kuondoa stress kwa kukosoa, kukebehi, hata kutukana inapobidi na ndio maana timu yetu ndio timu inayojulikana kua ni timu ya furaha dunia nzima
Tukifunga ni furaha, tukifungwa pia furaha inatawala, Maguire akitoa boko tukachezea pia tunachukulia kama kibwagizo cha furaha yetu.
Ila nyie mbuzi mkifungwa sasa bado mnang'ang'ania kutetea upumbavu, na akitokea mmoja wenu kuelezea hata hisia zake mnamjia juu kwelikweli.
Mpira ni burudani ndugu zangu, nyie kila kitu mnachukulia serious ndio maana hua mnajinyonga mbuzi nyie.
Kuweni japo kama OllaChuga Oc ili muendelee kufaidi mema ya nchi.
Watu awaelewi wanachukulia mupira seriyaz ndio maana majitu hapa ukiyatania tu kidogo mzee yanaporomosha matusi adi shety( shetani) anaomba poo ..hahaha usipokubali kutaniwa ..Basi mtu kaa Mimi ndio naongezaga mautani adi zile asira za kuweka mguu mfukoni au kumeza wembe zinakushika hahahaha na Mimi nasema hiiiiii😂😂😂😂
 
Kimtazamo wa form Westham hawezi kumfunga City ila anaweza kumpiga Brighton na kwa mtazamo huo huo ni ngumu kuamua kati ya United na Palace nani atashinda.

Wote wako kwenye run ya hovyo.

Na Palace ni kama wengine wa mid table low block, counter na purposive movements. United anahitaji zaidi ushindi au suluhu kwakua atajihakikishia kwenda Europa.

Nafikiri United inatakiwa kuhit rock bottom zaidi ya hapa, ili mashabiki waanze kutumia zaidi akili katika kujenga hoja. Liva fans learnt it the hard way am sure same approach will work for united.

Kuna member anatumia id ya Mc cane mtafuteni mjue kama yupo hai. Sina shaka na ARV majukumu yatakua yamembana, kuna kipindi nahisi hawa ARV na Mc cane ni Flano na allypipi in disguise. Mahaba mengi mpaka kutumia akili inakua mtihani.
Mkuu mpira ni burudani mpaka kufungwa kuna burudani yake hivi mashabiki kama wa Bayern munich ambayo msimu wa 10 huu wanabeba ligi wakiambiwa ligi yao ni urojo unadhani wanakuwa wanajisikiaje.

Raha ya mpira inatakiwa kuna kipindi kama ichi kije hili baadae timu itapoanza kufanya vizuri hata mzuka nao unakuwa mkubwa. wakuishangilia timu yako.

Kwangu naona raha ya mpira ni pamoja na kupoteza hili wakina OllaChuga Oc Pain killer wanavyo kuja kutania tania hapa ndo burudani ya mpira iyo.
 
Watu awaelewi wanachukulia mupira seriyaz ndio maana majitu hapa ukiyatania tu kidogo mzee yanaporomosha matusi adi shety( shetani) anaomba poo ..hahaha usipokubali kutaniwa ..Basi mtu kaa Mimi ndio naongezaga mautani adi zile asira za kuweka mguu mfukoni au kumeza wembe zinakushika hahahaha na Mimi nasema hiiiiii
AsaniAli eti wako serious wanataka kukuchomoa hapo nafasi ya 3.
Ila nyie ni kenge kweli yaani li timu lenu limekubali kuvalishwa jezi iliyoandikwa kabisa namba 3, hio ni lugha ya picha inayomaanisha msimu huu mtaishia nafasi ya 3 kenge nyie
Screenshot_20220509_162951.jpg
 
Kuna uwezekano Haaland akaja United. Hata binafsi nakubaliana na hilo.

Ni natural goal getter. Akikupa goli 30 kwa msimu na Ronaldo akikupa nae 25.

Mnakuwa kwenye nafasi nzuri.
Darwin Nunez ni cheap option ya Haaland. Bei zao wote ni Euro 75M ila mshahara wa Darwin ni nusu wa Haaland maana yake anatoa room ya ku-accommodate mchezaji mwingine kikosini. (Haaland si chini ya 350k/weekly vs Darwin Nunez 175k/weekly)

Kwa kifupi Haaland hafai kwa timu inayotaka kujengwa kila idara yeye pekee yake anaturudisha kule kule kujaza wachezaji wenye mishahara mikubwa kwa wakati mmoja. Hii kitu ni hatari kama unajenga timu inaku-limit kuongeza watu.
 
Sifa ya kwanza ya kiungo ni kuwa na akili..I'm sorry to say McSouce akili hiyo hana.
mgogoro wa mourinho dhidi ya paul pogba ndio ulimfaidisha scott mctominay, jose alimpandisha kutoka academy. uwezo wa mctominay ni wa kuchezea vilabu kama burnley na si kuwa regular starter wa manchester united. Tumerudi nyuma sana.
 
Watu awaelewi wanachukulia mupira seriyaz ndio maana majitu hapa ukiyatania tu kidogo mzee yanaporomosha matusi adi shety( shetani) anaomba poo ..hahaha usipokubali kutaniwa ..Basi mtu kaa Mimi ndio naongezaga mautani adi zile asira za kuweka mguu mfukoni au kumeza wembe zinakushika hahahaha na Mimi nasema hiiiiii😂😂😂😂
bora hata wewe unakimbilia jukwaa la mapishi ukifungwa
 
Ndio naona hapa muda sio mrefu kutoka kwa Fabrizio kumbe majirani zetu tayari wamemalizana na 'Lukaku' mpya?
ile taarifa nilifanikiwa kuisoma asubuhi kutoka kwa mtaalamu david ornstein, nafikiri yeye ndiye muandishi wa mwanzoni kuripoti taarifa hiyo. Kwa nini awe erling haaland na si harry kane?. Any tips.
 
Watu awaelewi wanachukulia mupira seriyaz ndio maana majitu hapa ukiyatania tu kidogo mzee yanaporomosha matusi adi shety( shetani) anaomba poo ..hahaha usipokubali kutaniwa ..Basi mtu kaa Mimi ndio naongezaga mautani adi zile asira za kuweka mguu mfukoni au kumeza wembe zinakushika hahahaha na Mimi nasema hiiiiii😂😂😂😂
Mpira ni mchezo wa hisia unapotoka kufungwa kwa dakika kadhaa nyongo inakuwa imechafuka mtu akileta utani ni kama anaweka chumvi ktk kidonda sasa hapo tuna tofautiana jinsi ya ku-handle hizo reactions. Kadri unavyozidi kuwa mtu mzima hisia za maumivu hupungua (above 25 yrs old).

Binafsi nimeanza kuangalia mechi za United toka mwaka 1999 May, 26 mpaka sasa labda nimekosa michezo isiyozidi 30. Unaweza kujionea hapo nimepitia vipigo vingapi ndani ya miaka karibu 23. Nishawahi kunyata kurudi chumbani kwangu nilipokuwa chuo kikuu baada ya kufungwa na Barcelona fainali.

Michango ya watu waliokomaa hata timu ikifungwa hujikita ktk mchezo zaidi ni wapi palikuwa na mapungufu na nani kazingua na nini kifanyike ila watoto wadogo wengi labda hata wewe pia ni mmoja wao hujikita zaidi ktk mizaha ila mimi huchukulia kawaida najua wapo ktk kipindi cha umri sahihi kufanya hayo.
 
Back
Top Bottom