Sisi Ndio Chelsea Bora hata team yenu ya wanawake wanaleta ushindani kuliko WanaumeWanawake nao wamekula 4![]()
Crystal palace lazima awazamishe... .Kumbe united mmebakisha game mojaTena mnacheza may 22 na crystal palace aiseee
Mnamaliza msimu kifala Sana
Conference mshindi anaenda Uropa league...Conference haina maana yoyote, kuliko kucheza Conference bora usicheze Europe Kabisa. Angalau Europa mshindi anaingia Champions league.
Kabla ya hiyo match tuliwanyuka 6Sisi Ndio Chelsea Bora hata team yenu ya wanawake wanaleta ushindani kuliko Wanaume
Tatizo mna mdomo kama chuchunge.
Kundi la panya road tu hiloManureeeeee
Hiki ni kikosi Cha mdundiko wa ngoma asilia.
Juzi nilisema hapa kama United wanataka kujihakikishia Europa League basi wapate angalau point 1 kwenye mechi ya Brighton na nilijua kabisa kwa jinsi timu inavyocheza ni ngumu kupata points 3. Kwa hali ilivyo wangefanikiwa kupata point 1 matumaini yetu tungewaachia City ambao bila shaka wasingetuangusha.Kimtazamo wa form Westham hawezi kumfunga City ila anaweza kumpiga Brighton na kwa mtazamo huo huo ni ngumu kuamua kati ya United na Palace nani atashinda.
Wote wako kwenye run ya hovyo.
Na Palace ni kama wengine wa mid table low block, counter na purposive movements. United anahitaji zaidi ushindi au suluhu kwakua atajihakikishia kwenda Europa.
Nafikiri United inatakiwa kuhit rock bottom zaidi ya hapa, ili mashabiki waanze kutumia zaidi akili katika kujenga hoja. Liva fans learnt it the hard way am sure same approach will work for united.
Kuna member anatumia id ya Mc cane mtafuteni mjue kama yupo hai. Sina shaka na ARV majukumu yatakua yamembana, kuna kipindi nahisi hawa ARV na Mc cane ni Flano na allypipi in disguise. Mahaba mengi mpaka kutumia akili inakua mtihani.
Sisi Arteta alijichanganya kwenye mid akapaweka hovyo hovyo tukapasuka 3. Kama mid yenu itakua imara Palace hawana ukali huo.Juzi nilisema hapa kama United wanataka kujihakikishia Europa League basi wapate angalau point 1 kwenye mechi ya Brighton na nilijua kabisa kwa jinsi timu inavyocheza ni ngumu kupata points 3. Kwa hali ilivyo wangefanikiwa kupata point 1 matumaini yetu tungewaachia City ambao bila shaka wasingetuangusha.
Kama tungefanikiwa kupata point 1 maana yake tungesubiri tu West Ham afungwe na City na tungekuwa tumeshafuzu UEL. Sasa hali ilivyo sasa endapo tutafungwa na Palace na West Ham akamfunga Brighton ni wazi tutatolewa kwa Goal difference na kuna possibility kubwa United hataondoka na points 3 kwa Palace na kama West Ham atapata droo game ya City (which is possible) game ya mwisho pressure itakuwa juu zaidi na tumeshaona kikosi tulichonacho hakiwezi ku-handle games zenye pressure kubwa so nategemea game ngumu zaidi na Palace hawana cha kupoteza so wata-relax na watakuwa na utulivu zaidi.
Wanachojua sasahivi ni kukimbia tu uwanjani,bila kujali wanaelekea wapiKundi la panya road tu hilo
Nani aliekwambia sisi tuna mahaba mengi mpaka tunashindwa kutumia akili?Kimtazamo wa form Westham hawezi kumfunga City ila anaweza kumpiga Brighton na kwa mtazamo huo huo ni ngumu kuamua kati ya United na Palace nani atashinda.
Wote wako kwenye run ya hovyo.
Na Palace ni kama wengine wa mid table low block, counter na purposive movements. United anahitaji zaidi ushindi au suluhu kwakua atajihakikishia kwenda Europa.
Nafikiri United inatakiwa kuhit rock bottom zaidi ya hapa, ili mashabiki waanze kutumia zaidi akili katika kujenga hoja. Liva fans learnt it the hard way am sure same approach will work for united.
Kuna member anatumia id ya Mc cane mtafuteni mjue kama yupo hai. Sina shaka na ARV majukumu yatakua yamembana, kuna kipindi nahisi hawa ARV na Mc cane ni Flano na allypipi in disguise. Mahaba mengi mpaka kutumia akili inakua mtihani.
Kukosoa siyo shida shida inakuja unakosoaje?Nani aliekwambia sisi tuna mahaba mengi mpaka tunashindwa kutumia akili?
Mashabiki wote wa United tunajijua kua msimu huu sisi ni wazee wa 4G, ni nyinyi tu na uzembe wenu siku ile ndio mlishindwa kujipigia goli 4.
Tofauti ya mashabiki wa United na AsaniAli ni moja?
Sisi timu letu likiboronga hakuna shabiki atakae tetea, tutaikosoa, tutaidhihaki na hata ikibidi kuwatukuna wachezaji na kocha tutawatukana na tunapata relief.
Nyinyi timu lenu hata likizingua vipi ndio kwanza mnazidi kulisifia na mnaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe endapo ikitokea mmoja wenu akiamua kukosoa upumbavu unaoendelea kwenye timu, ndio maana mashabiki wa AsaniAli wanaongoza kwa stress, hata takwimu zinaonyesha mashabiki wa AsaniAli ndio wanaongoza kwa kujiua.
Timu yoyote kabla ya kuanza ligi au kuanza game lazima tambo ziwepo, wakati wa usajili tambo lazima ziwepo, United hata kama tunajua kua mechi ya leo tunaenda kufungwa lakini kabla mechi kuanza lazima tulete tambo kibao muulize allypipi analijua hilo yaani ileKukosoa siyo shida shida inakuja unakosoaje?
Mfano kuna Arsenal fan mmoja tukiwa tunaelekea kucheza na united akasema Arteta hawezi kufunga timu kubwa. Nikamuuliza anajua Arteta FA na Ngao kachukua mbele ya nani? Nikamuuliza kama anajua Arteta kampiga Lampard, na united mara ya mwisho (kabla ya hiyo mechi) kumfunga Arsenal ilikua 2018?
So anakosoa ila anachokosoa ni anazidi kupotosha. Nyinyi mna shabiki mmoja anayesema Rashford ana uwezo kuliko Mbappe, na wote hua mnadhihaki na kumbishia. Sasa shida iko wapi kumpinga shabiki mwenzako kama unaona anaongopa?
Nilivyosema hamtumii akili siyo katika kukosoa ila ni jinsi mnavyoangalia timu yenu, kocha na wachezaji na jinsi mnavyowapresent. Mfano at one point mlisema Maguire ni zaidi ya Virgil, mkasema (huku mkiongozwa na jamaa wa Rashford) kua ole ni bonge la kocha.
Ralf akiwa anakuja mkaja na mapambo mengine juu yake kwamba ni baba wa gegenpress, mwalimu wa Tuchel na Klopp. Leo Erik anakuja tayari mmechora mabango ya 'EPL ain't ready' by akili nilimaanisha hamjifunzi. Hamuangalii stats za mtu kabla hamjaanza mapambo







bado mnang'ang'ania kutetea upumbavu, na akitokea mmoja wenu kuelezea hata hisia zake mnamjia juu kwelikweli.