Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu mjerumani ni tapeli amejaa maneno mengi halafu utekelezaji ni ziro

Mbona tuliwaambia kuanzia mwanzoni kabisa,kwamba hapo ratiba inawafavour tu ila mtarudi kwenye hali yenu tu.

Kipindi kile mkutaka kabisa kusikia.

Hata huyo anaekuja na yeye bado sana kufit hapo ,maana wachezaji ni wavivu sana sasa na nyinyi hamuwezi kuvumilia mnataka matokeo tu.
 
Nyie
Screenshot_2022-05-08-09-57-39-21.jpg


Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Halafu imebaki mechi moja 😁😁 nyie hata conference sidhan kama mtacheza, subirini carabao tuu
 
Kuna sku mtaiona ya maana Tu , mana hata Europa mliiopndaga hvi hvi
Hio ni kabla ya bingwa wa Europa haingii UCL. Toka waweke bingwa anapewa kundi UCL timu nyingi Zipo serious.

Zamani Even Timu ndogo Epl zilikuwa hazina time na Europa.

Wakiweka bingwa wa Conference anaingia UCL of course club zitakua serious.
 
Hata hiyo Europa ni bahati tu, westham na spur walizubaa tu walikuwa wanatukalisha..


Lkn acha kocha wetu mpya akajipime huko Europa ndogo Kwa ajili ya Mwakani, mpuuz kama Chelsea, asernal ni wadg Sana kwenye gozi
 
Back
Top Bottom