Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Owen akimalizana na Rashford tunamuomba ahamie kwa Bruno Fernandes.Owen kamsagia sana kunguni Rashford safi sana.
Huyu jamaa tokea kusajiliwa kwa Ronaldo amekua ni mchezaji wa hovyohovyo sana, anapoteza mipira kizembe sana, pasi zake na zenyewe siku hizi zimekua za hovyo hazifiki kwa mlengwa, anachojua kwa sasa ni kujiangusha tu hovyohovyo na kulalamika kwa refa kutaka mbeleko.
