Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyo ana bebeshwa majukumu mengi wakati jukumu lake yeye huwa ni kufunga tu!!! Ronaldo akabe,atafute mipira,arudi kuzuia duuh.

Atafute timu ambayo ata relax kwa shughuli moja tu,Kutikisa nyavu.Ndicho alicho fanya alipo kuwa na Madrid.
Frankly speaking tatizo la Manure sio CR7 bali watu wanaotakiwa kumpa huduma. Tatizo la msingi ni uwezo wa kocha ni mdogo kujenga chemistry na filosofia ya kucheza na kushinda mechi. Juzi na spurs viungo walibahatisha kucheza vizuri hasa fredy ila sasa Fred form yake ni on and off. Midfield ikiboreshwa hata Rashford na Elanga na Ronaldo watakuwa wafungaji wazuri sana. Fredy na Mctomnay hawako kwenye kiwango cha kugombea makombe
 
Man u ni timu kubwa duniani,
pengine haitoshi lazima useme yenye mafanikio makubwa

Ukiziangalia vizuri hizo sentensi zote ni za wakati uliopita, tena uliopita muda mrefu sana

Kwa wakati wa sasa na ujao

Man u ndio team isiyokua na mbele wa nyuma yani; leo kesho na kesho kutwa

Man u kwa sasa na kuendelea ni muendelezo wa matatizo
Yani kama majira ya mwaka, kiangazi na masika
"Man u ni timu kubwa duniani"

Kwa akili yako hiyo ni sentensi ya wakati uliopita?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea unataka nini? Kama una mb za kuunga unga chagua Primary server, alafu expand video mara tatu. Utakula mbugi, primary inachukua mb 500-600 tu mechi nzima.

SD server inabebe 600-700
HD server 600 mb.

UHD hapo 800-900 mbs mpaka 1gb
Kuna app ninaweza kuipata inayotumia 500 mb kushuka chini
 
short and clear
kwa sasa man u inahitaji kocha mwenye kuogopeka na wachezaji
na mwenye sauti

alivyo kuwepo jose aliogopeka kidg mana ukizingua ni bench na alitupa kikombe
baada ya hapo hawa wengine ni kucheka tu na wachezaji kutokana na majina yao
man u ni kama psg lakini si kama real madrid ya ancellot


wataelewa wachache sana
Je team inampa nguvu ya kuwa na sauti zaidi ya wachezaji?
 
Mwenye utukufu wake cr7 aondoke tena????

Ronaldo ana miaka 37,kama tutapenda kurejea katika nafasi yetu ni lazima kumtafuta striker wa kiwango cha juu na suala la umri likipewa nafasi ya juu.
 
Kuna app ninaweza kuipata inayotumia 500 mb kushuka chini
Ndiyo ipo, hii hapa
Screenshot_20220316-095714~2.jpg
 
Maguire jana kawachoma Man United kwenye lile goli! Basics za CBs zinajulikana kabisa huwezi kuvunja line yako kumpush Striker unless una uhakika 95% unaenda kuwin mpira... Kwa maana the moment unatoka unaacha gap kubwa kwa wapinzani na unakuwa unalazimisha fullback aje kukucover
 
Ronaldo ana miaka 37,kama tutapenda kurejea katika nafasi yetu ni lazima kumtafuta striker wa kiwango cha juu na suala la umri likipewa nafasi ya juu.
Kwani Ronaldo kashindwa kufunga kwa kiwango cha juu?
Kwa mfumo ulio Manure kwa sasa kuanzia kwenye bodi, kiwango cha makocha mnayemuajiri na wachezaji mlionao, hata akija Mbape na Haaland mkaweka 2 striker mbele, bado Manure itaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu.
 
Ile rafu ya Elanga ilikuwa ni normal contacts ambayo inaruhusiwa kwenye mpira, momentum yake mwenye ndioo iliyomfanya akapepesuka akaanguka ndio maana refa alipeta
 
Back
Top Bottom