Manchester United (Red Devils) | Special Thread

jana rashford kazingua na mshabiki bora aondoke
Screenshot_20220316-201653_Twitter.jpg
Screenshot_20220316-201702_Twitter.jpg
 
Kama kuna shabiki wa MUFC na bado anahofu ya kukosa Top 4 basi nampa salamu kwamba Apunguze presha...Aseno hawezi kutoboa kwa ivi viporo 100%%
 
Unahakika Man Utd Atashinda Na Kuwa Na Consistency Na Mechi Zake Mpk Mwisho.
Arsenal wana fixture ngumu kuanzia Aston Villa mpaka West Ham lakini pia mechi zao mbili za mwisho wanacheza na timu zinazopambania zisishuke daraja. Mechi 7 zijazo za Arsenal ndiyo zitaonyesha muelekeo wa top 4.

Man. United wana mechi ngumu 2 kulingana na squad depth yao tofauti na Arsenal ukitoa form yao ya sasa kikosi chao siyo kikubwa na chenye quality ya kutosha.

United wana advantage ya kutokucheza wiki 3 na wakirudi huenda kikosi kitakuwa kamili na sasa hivi focus ni top 4 baada ya kutoka kwenye makombe yote.

Kilichobaki ni muda kuamua, bado timu zote zina nafasi nzuri kumaliza top 4.
 
Kweli Acha Tusubiri Tuone Timu Itakuja Na Kitu Gani Tofauti Uwanjani Kuanzia Sasa.
 
Jana arsenal kapoteza point 3
Lakin humu watu hawana Furaha, uzi umegeuka matanga
Lawama Wana shindwa wazipeleke Kwa nani.

Walisema wachezaji
Wakasema board
Wakasingizia ma legend

Sasa hivi hawana Cha kusingizia Tena.

Wakadai Ten haag aingie mapema united Sasa hivi hata hazungumziwi baada ya kupigwa na benifca Tena Nyumbani kwake

Poch baada ya kupigwa na Madrid ndo hamu naye ikaisha kabisa

Wanakosa Cha kusingizia.

Na mechi Yao ni mpaka tarehe 1 April(FOOLS DAY) watasingizia Nini maana watakuwa wamepumzika vya KUTOSHA?? hiyo siku tutajua nani fool.

Tusubiri tuone watakacho singizia.
 
Sasa hivi tatizo n mashabiki

Maana washazingizia wote, kasoro mashabiki
 
Watasema mashabiki hawana uchungu na timu yao,Hawashangilii Kwa nguvu kuwapa molari wachezaji wao maana vipigo vyote vinatokea nyumbani kwao. Ile furaha ya dunia imepotea mwiongoni mwao.
 
Back
Top Bottom