Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Rebuilding ni muhimu sana hasa tukizingatia wachezaji wasiopungua 7 watatakiwa kuondoka.
1. Pogba
2. Cavan
3. Mata
4. Jones
5. Lindgard
6. Matic
7. Bailly
8. Ronaldo
9. Rashford
Na Ajax ange fuzu robo fainali watu wangemfanyia promo kocha Erik ten Haag hatari,nimefurahi Sana kuondoshwa kwake.Ooh tumefanya mazungumzo na kocha wa ajax
Na huyo kocha nayeye huko anakojoleshwa na benfica
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Mzee wa kosi la dunia.Naisave msg yako nitakujibu mpira ukiisha![]()



Sisi Kenge wa Darajani leo Ttunatinga QF.Weka akiba ya maneno wewe kenge wa darajani.
Tena walikuwa wa moto kuliko hii ATM tia maji ya sasa.Hawa Atletico sisi tuliwafanya kitu mbayaView attachment 2152333
Huyo ana bebeshwa majukumu mengi wakati jukumu lake yeye huwa ni kufunga tu!!! Ronaldo akabe,atafute mipira,arudi kuzuia duuh.Tungoje na leo awafunge midomo wabaya wake.
Mwamba umeua hii comment yako inatakiwa ifanyiwe laminationNyie jamaa kat ya watu wanao Tia huruma n nyinyi
Timu inawapa furaha siku moja halafu inawapa mateso wiki tatu
Kwa Hali hii afya mtaitoa wapi ya kugegeda wake zenu jaman
Na waswas hata wake zenu wanasaidiwa na mashabiki wa Chelsea na Liverpool maana hao pekee ndio wananguvu za kiume msimu mzma wa ligi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kabisa,Na mmembwela kweli
Msimu huu ndio msimu mbaya zaidi kwa Atletico Madrid tangu ikae sawa. Wameruhusu magoli mengi sana.
Nilijua hawatatoboa lakini nilisahau kuwa timu linalocheza nalo ndio takataka![]()