buffalo44 Hii app vip haitumii mb nyingi? Nataka nitumie kwenye mechi ya keshoWanaolilia link tulia pakua hii utajichagulia muonekano kulingana na uwezo wako wa mbs
Ipo mpaka UHD
View attachment 2152288
buffalo44 Hii app vip haitumii mb nyingi? Nataka nitumie kwenye mechi ya keshoWanaolilia link tulia pakua hii utajichagulia muonekano kulingana na uwezo wako wa mbs
Ipo mpaka UHD
View attachment 2152288
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi sasaView attachment 2152336
Sisi chelsea tumemtoa ATM msimu uliopita Tena akiwa vizuri tofauti na msimu Huu goal 3-0 na tulimpiga nje ndaniWhat can i say...Ushubwada tu all around.
Ronaldo umefika wakati akubali asitafu kwa heshima aliyoyafanya kwenye ulimwengu wa soka nimakubwa sana huu niwakati wa kupumzika.Huyo ana bebeshwa majukumu mengi wakati jukumu lake yeye huwa ni kufunga tu!!! Ronaldo akabe,atafute mipira,arudi kuzuia duuh.
Atafute timu ambayo ata relax kwa shughuli moja tu,Kutikisa nyavu.Ndicho alicho fanya alipo kuwa na Madrid.
Inategemea unataka nini? Kama una mb za kuunga unga chagua Primary server, alafu expand video mara tatu. Utakula mbugi, primary inachukua mb 500-600 tu mechi nzima.buffalo44 Hii app vip haitumii mb nyingi? Nataka nitumie kwenye mechi ya kesho
Meku pole sana. Mzee wa ma hat trick hakucheza?What can i say...Ushubwada tu all around.
Duh huyo kiumbe kwali alicheza? Maana sikumuona uwanjani.Leo Bruno ana mapepe, aisee
Acha tu. Litimu hili banaSometimes anazingua sana na hivyo vyenga vyake, kuna nafasi nzuri ya kutoa pasi lakini lenyewe linang'ang'ania kukaa na mpira mpaka linanyang'anywa.
Hizo mbwembwe zake anatakiwa afanye tukiwa tunaongoza kwa goli nyingi, ila kwa huo upumbavu wake anaishia kuigharimu timu.
Kipindi cha kwanza mpaka kinaisha sijaona move yoyote ya maana ya kutafuta goli zaidi ya mbwembwe zisizo na msaada wowote.
Humtaki wewe kama nani?Hili litimu bana, michezaji ovyo.
Kocha nae fala, Ilibidi backline kusiwe na Maguire ili kutowapa Atletico confidence ya kufunga.
Ndio hivyo, hatusikilizwi.
Sancho na Rashford dah! Waingereza bana hasa Trashford yaani hamna kitu now bora Elanga.
Bruno alikua vizuri kupress tatizo mapepe mengii.
Pogba tulitegemea asaidie passes ndio hivyo kawa mzito na mfanya faulo.
Kuingiza
Pogba, na Rashford kumeua pressing mbele.
Kuna comment nilisema kuhusu Bruno, na bora Pogba, nilimaanisha eneo la passes basi, pressing Bruno ni bora, mimi naona angeendelea mpaka dk 70 licha ya mapepe ni risk taker plus matic aliingia angesaidia kupeleka ball mbele mwenye mapepe abahatishe.
Rashford simtaki kabisa.
Maguire nilikua nawaza kumfumua Risasi ya tako na mguu awe bed msimu mzima.
Hahaha 😂 nyie watu bana.Humtaki wewe kama nani?
Bado huyo kocha ni bonge la kocha. Kila mwaka wachezaji wazuri waliopikwa wanahama. Kila mwaka ni kama anaanza kuibua vipaji upya. Ten Haag ana timu very temporary. Ingekuwa ni makocha wengine wasingeweza kutoboa na wachezaji wa namna hiyo. Mimi naamini akifundisha timu yenye mshiko wa kuwanunua wachezaji wa viwango na wanaodumu ataifikisha timu mbali sanaNa Ajax ange fuzu robo fainali watu wangemfanyia promo kocha Erik ten Haag hatari,nimefurahi Sana kuondoshwa kwake.
Halafu hata hivyo Uefa huwa hafiki mbali,Ana waonea wanyonge wa uholanzi Kwa sababu yeye ndiye mwenye power kuwazidi kuanzia pesa mpaka uwekezaji ndo maana kombe la ligi miaka yote ni la ana chukua yeye.
Sasa kaondoshwa,hata kukumbukwa hakuna![]()