huko nyuma mkuuTimu yenu inacheza ligi gani ???View attachment 2151245

3 kabisa kwa mojaMan Utd 2 Atletico 1![]()
Na Iwe Ivo Mkuu ili Leo Tulale Kwa Furaha Na Amani Kabisa Huku Tukimsubiri Opponent Wetu Mwingine Hatua Ya Quarter Final.3 kabisa kwa moja
"Ya mbuzi." (Kwa sauti ya Rage)Timu yenu inacheza ligi gani ???View attachment 2151245
Hesgoal.com
Maguire inaonyesha ana kitu cha peke chenye mashabiki hatukioni makocha wanakiona sio bure.Page ya Man U insta mashabiki wamecharuka kutoa povu baada ya kikosi kutoka kisa Maguire kaanzaView attachment 2152178