buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Bruno mapepe mengi badala atulie atoe pass ya kueleweka, yaani kila mechi unaona afadhali yule. Pobga licha ya kuwa mzito anatoa pass za maana no mapepeNi weupe ila kipindi cha pili wanatudi kudefence kazi ipo bado

